Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

casibom giriş

pusulabet

grandpashabet

pusulabet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

tipobet

redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Featured Kitaifa

WAHITIMU CHUO CHA MIPANGO WATAKIWA KUTATUA CHANGAMOTO ZA JAMII

Written by Alex Sonna

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Jenifa Omolo, (mwenye joho jekundu), akiwa katika maandamano wakati wa mahafali ya 36 ya Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Kampasi ya Dodoma, yaliyofanyika chuoni hapo jijini Dodoma. Kulia ni Mkuu wa Chuo hicho, Prof. Hozen Mayaya na anayeongoza maandamano ni Profesa Tiberio Mdendemi.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Jenifa Omolo, (mwenye joho jekundu), akiwa katika maandamano wakati wa mahafali ya 36 ya Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Kampasi ya Dodoma, yaliyofanyika chuoni hapo jijini Dodoma. Kulia ni Mkuu wa Chuo hicho, Prof. Hozen Mayaya na anayeongoza maandamano ni Profesa Tiberio Mdendemi.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Jenifa Omolo, akitunuku shahada wahitimu wa Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Kampasi ya Dodoma katika hafla ya mahafali ya 36 ya chuo hicho, jijini Dodoma. Kulia ni Mkuu wa Chuo hicho Profesa Hozen Mayaya.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na MIpango Bi. Jenifa Omolo, akizungumza wakati akifungua hafla ya mahafali ya 36 ya Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Kampasi ya Dodoma, yaliyofanyika chuoni hapo jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Jenifa Omolo, (mwenye joho jekundu), akiwa katika maandamano wakati wa mahafali ya 36 ya Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Kampasi ya Dodoma, yaliyofanyika chuoni hapo jijini Dodoma. Kulia ni Mkuu wa Chuo hicho, Prof. Hozen Mayaya na anayeongoza maandamano ni Profesa Tiberio Mdendemi.

 

Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Prof. Martha Qorro, akizungumza wakati wa hafla ya mahafali ya 36 ya Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Kampasi ya Dodoma, yaliyofanyika chuoni hapo jijini Dodoma.

Baadhi ya wahitimu wa kada mbalimbali wakiwa katika hafla ya mahafali ya 36 ya Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Kampasi ya Dodoma, yaliyofanyika chuoni hapo, jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Jenifa Omolo (mwenye joho jekundu) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wahitimu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini baada ya kuhitimisha hafla ya mahafali ya 36 ya Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Kampasi ya Dodoma, yaliyofanyika chuoni hapo, jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Jenifa Omolo akiangalia moja ya bidhaa inayotengenezwa na mwanafunzi Tabitha Pando wa Chuo cha Maendeleo Vijijini Kampasi ya Dodoma, wakati alipotembelea maonesho ya wanafunzi kabla ya kufungua hafla ya mahafali ya 36 ya Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Kampasi ya Dodoma, yaliyofanyika chuoni hapo jijini Dodoma.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WFM, Dodoma)

…………………………….

Na. Haika Mamuya na Saidina Msangi, WFM, Dodoma

Serikali imewataka wahitimu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) kutumia ujuzi na mafunzo waliyoyapata kujiajiri badala ya kutegemea ajira rasmi pekee ili kujikwamua kimaisha.

Rai hiyo imetolewa jijini Dodoma na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Jenifa Omolo ambaye alimwakilisha Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, katika mahafali ya 36 ya Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini.

Bi. Omolo aliwataka wahitimu hao kutumia mbinu za ujasiriamali kama sehemu ya programu zao za mafunzo walizofundishwa kwa kuzifanyia upembuzi yakinifu, kuandaa mpango wa biashara na kuutekeleza kwa ufanisi ili kutatua changamoto zilizopo kwenye jamii na kuleta mabadiliko chanya.

‘’Niwaombe wazazi, walezi, ndugu na jamaa wa wahitimu, kama mlivyoshiriki katika kugharamia masomo ya vijana hawa, msiiachie tu Serikali kuhusu hatima yao baada ya kuhitimu. Muwasaidie wahitimu watakaokuwa na mawazo ya kibiashara kupata rasilimali ya kuanzisha miradi ya kibiashara’’ alieleza Bi. Omolo.

Alisema kuwa anaimani wahitimu wa chuo hicho watathibitisha vema maarifa na ujuzi walioupata Chuoni hapo kwenye ulimwengu wa kazi na  kuwakumbusha kuwa mafanikio katika ulimwengu wa leo yanahitaji moyo wa kupenda kuendelea kujifunza na ubunifu.

Aliwapongeza wahitimu hao kwa kufanikiwa kuhitimu masomo yao na kuwaasa kuwa chachu ya maarifa kwa kuendelea kujifunza ili kuongeza ujuzi na ubunifu unaohitajika katika kuboresha utendaji kazini.

Aidha alisema Serikali itaendelea kuboresha mazingira ya upatikanaji wa mitaji kwa ajili ya vijana kupitia mikopo ya Halmashauri pamoja na kuhamasisha upatikanaji wa mikopo ya gharama nafuu kupitia Benki.

Pia Bi. Omolo alibainisha kuwa  Serikali kwa upande wake itaendelea kukiwezesha Chuo kibajeti ili kiweze kuwa na miundombinu bora na rasilimali watu inayokidhi mahitaji ya utoaji wa elimu kwa viwango bora.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi wa Chuo hicho, Prof. Martha Qorro, ameishukuru Serikali chini ya uongozi wa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutenga bajeti ya kugharamia uendeshaji wa chuo pamoja na kukiwezesha kutekeleza mradi wa upanuzi wa chuo hicho.

Pia aliuhakikishia umma kuwa baraza la uongozi wa chuo hicho linaendelea kuhakikisha kuwa kinatekeleza majukumu yake kwa weledi na ufanisi zaidi.

Naye Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo ya Vijijini Prof. Hozen Mayaya, alisema kuwa pamoja na chuo hicho kutekereza baadhi ya miradi kupitia ruzuku ya Serikali pia chuo hicho kwa mwaka 2021/22, kimetekeleza mradi wa upanuzi wa eneo la kituo cha mafunzo Kanda ya Ziwa kwa kukamilisha ulipaji fidia ya Sh. bilioni 1.73 kwa wananchi kwa kutumia mapato ya ndani.

Aliishukuru Serikali kwa kuendelea kujenga mazingira wezeshi kwa vijana kujiajiri kuimarisha mazingira ya mikopo ya vijana kupitia bajeti za Halmashauri za wilaya pamoja na kupunguzwa kwa riba za mikopo ya benki.

Jumla ya wahitimu 6225 wakiwemo wanawake 3503 na wanaume 2722 wamehitimu mafunzo yao na kutunukiwa shahada za awali, stashahada na astashahada katika programu 28 kwenye mahafali ya 36 ya Chuo Kikuu cha Mipango Kampasi ya Dodoma.

About the author

Alex Sonna