Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA 27 WA CHAMA CHA WANASHERIA WA AFRIKA MASHARIKI (EALS) JIJINI ARUSHA

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi pamoja na Wajumbe wa Chama cha Wanasheria wa Afrika Mashariki (East Africa Law Society) kabla ya kufungua Mkutano wa 27 wa Chama hicho uliofanyika Jijini Arusha tarehe 24 Novemba, 2022. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Chama cha Wanasheria wa Afrika Mashariki (East Africa Law Society) mara baada ya kufungua Mkutano wa 27 wa Chama hicho uliofanyika Jijini Arusha tarehe 24 Novemba, 2022. 

Wajumbe wa Chama cha Wanasheria wa Afrika Mashariki EALS pamoja na viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano wa 27 wa Chama hicho uliofanyika Jijini Arusha tarehe 24 Novemba, 2022.

About the author

mzalendoeditor