Featured Kitaifa

MWENYEKITI WA CCM NA RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO MAALUM CHA KAMATI KUU CCM,IKULU CHAMWINO DODOMA

Written by mzalendoeditor

                                                              

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya  CCM kilichofanyika tarehe 22 Novemba, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

About the author

mzalendoeditor