Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

maxwin, maxwin giriş

casibom

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet giriş

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

betmarino

lordcasino

pusulabet, pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

casibom

interbahis

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

Jojobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

grandpashabet

jojobet

holiganbet

jojobet

betpark giriş

betsat giriş 2027

jojobet

tambet

ultrabet

jojobet

piabellacasino

setrabet

pulibet

jojobet

timebet

jojobet

kulisbet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet giriş

megabahis giriş

megabahis

mavibet

piabellacasino

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

holiganbet

mavibet giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

betpark

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

grandpashabet

grandpashabet

jojobet

jojobet

jojobet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

perabet

betface

betface

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casinoroyal giriş

perabet

meritking

betpark

vdcasino

Featured Kitaifa

KAMATI YA BUNGE PAC YAPATA ELIMU YA UAGIZAJI WA MAFUTA KWA PAMOJA

Written by Alex Sonna

Mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali, Mhe. Naghenjwa Kaboyoka akizungumza wakati wa Semina ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali kuhusu Mfumo wa Uagizaji wa mafuta kwa Pamoja nchini katika ukumbi wa Wizara ya Nishati, jijini Dodoma. Kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato.

…………….

Na Ruben Richard

Wajumbe wa Kamati Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wamepata elimu kuhusu shughuli za Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja zinazosimamiwa na Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (PBPA).

Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato amesema kuwa lengo la kutoa elimu hiyo ni kuwawezesha Wajumbe hao kufahamu kwa kina  kuhusu utendaji wa Taasisi ya PBPA iliyopewa jukumu la kusimamia shughuli za uagizaji wa mafuta kwa pamoja.

Semina hiyo imefanyika jijini Dodoma tarehe 6 Novemba, 2022 na kuhudhuriwa na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati, Kheri Mahimbali na watendaji mbalimbali kutoka Wizara ya Nishati na Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (PBPA).

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa PBPA, Erasto Mulokozi, aliieleza Kamati hiyo kuhusu historia ya shughuli za uagizaji wa mafuta nchini pia kazi zinazofanywa na taasisi hiyo kwa sasa za uagizaji na upokeaji wa mafuta.

Amesema kuwa, kutoka Wakala huo uanzishwe mwaka 2015 umekuwa na mafanikio mbalimbali ikiwemo kuwa na uhakika wa upatikanaji wa mafuta yanayotosheleza mahitaji na yenye viwango vya ubora unaohitajika.

Manufaa mengine ni Serikali kuweza kupanga ukusanyaji wa mapato kwa kuzingatia takwimu sahihi, kuweza kupanga bei elekezi ya mafuta pamoja na kupata unafuu wa gharama za uletaji wa mafuta nchini kutokana na uagizaji wa mafuta kwa pamoja kwa wastani wa zaidi ya Dola. za Marekani milioni 200 Sawa na shilingi bilioni 462 huokolewa kwa mwaka.

Aidha amesema kuwa, kutokana na mfumo huo kuleta ufanisi, nchi za jirani pia zinatumia mfumo huo kuagiza mafuta kupitia Tanzania hivyo kuipatia Serikali mapato kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya bandari.

Ameongeza kuwa, mfumo huo umesaidia kupunguza upotevu wa mafuta wakati wa kupakua mafuta kutoka melini ambapo wastani wa Tani 1100 ( lita 1,300,000) huokolewa kila mwezi sawa na shilingi bilioni 4.3.

Wajumbe wa Kamati hiyo walipongeza kuhusu mfumo ambao umeonesha ufanisi, ambapo pia Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali, Mhe. Naghenjwa Kaboyoka ameishukuru Wizara ya Nishati kupitia PBPA kwa kupata uelewa huo ambao umesaidia Kamati kufahamu Sekta pamoja na changamoto zake.

Vilevile, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Kheri Mahimbali ametoa wito kwa Wajumbe wa Kamati hiyo kuendelea kutoa ushauri na maelekezo ambayo yataiwezesha Sekta ya Nishati kuendelea kuendeshwa kwa ufanisi.

About the author

Alex Sonna