Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ATETA NA MALKIA WA UHOLANZI

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Malkia wa Uholanzi Mhe. Maxima ambaye pia ni Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Mfumo Jumuishi wa Fedha katika Maendeleo mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Oktoba, 2022. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Malkia wa Uholanzi Mhe. Maxima ambaye pia ni Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Mfumo Jumuishi wa Fedha katika Maendeleo mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Oktoba, 2022. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Malkia wa Uholanzi Mhe. Maxima ambaye pia ni Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Mfumo Jumuishi wa Fedha katika Maendeleo wakati wakizungumza na Wanahabari, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Oktoba, 2022. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Malkia wa Uholanzi Mhe. Maxima ambaye pia ni Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Mfumo Jumuishi wa Fedha katika Maendeleo mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Oktoba, 2022.

About the author

mzalendoeditor