Featured Kitaifa

MWENYEKITI WA CCM NA RAIS SAMIA  ATEMBELEA OFISI ZA CCM NA KUTETA NA VIONGOZI WA CCM MKOA WA GEITA.

Written by mzalendoeditor

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Akizungumza na Viongozi wa CCM alipotembelea ofisi za Chama akiwa ziarani mkoani humo.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipokewa na viongozi wa Chama alipowasili katika Ofisi za CCM Mkoa wa Geita akiwa ziarani mkoani humo.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akitia saini kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Ofisi za CCM Mkoa wa Geita akiwa ziarani mkoani humo.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Akizungumza na Viongozi wa CCM alipotembelea ofisi za Chama akiwa ziarani mkoani humo.

About the author

mzalendoeditor