Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

maxwin, maxwin giriş

casibom

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

zirvebet giriş

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

betmarino

lordcasino

pusulabet, pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

pasacasino

interbahis

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

Jojobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

grandpashabet

jojobet

holiganbet

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

betsat

jojobet

tambet

ultrabet

jojobet

piabellacasino

setrabet

pulibet

jojobet

timebet

jojobet

kulisbet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet giriş

megabahis giriş

megabahis

mavibet

piabellacasino

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

holiganbet

mavibet giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

meritbet

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

grandpashabet

grandpashabet

jojobet

jojobet

jojobet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

İmajbet

betface

betface

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casinoroyal giriş

perabet

meritking

betpark

vdcasino

Featured Magazeti

MAMLAKA YA SERIKALI MTANDAO YAWAJENGEA UWEZO VIJANA WA VYUO VIKUU ILI KULETA MAENDELEO YA TEHAMA NCHINI

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza wakati akifunga mafunzo kwa vijana wa Vyuo Vikuu waliokuwa wakifanya utafiti na ubunifu wa mifumo ya TEHAMA kupitia Kituo cha Utafiti, Ubunifu na Uendelezaji wa Mifumo cha Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) jijini Dodoma.

………………………………..

Na. Veronica Mwafisi-Dodoma

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi, amesema serikali kupitia Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) imewapatia mafunzo ya TEHAMA vijana wa vyuo vikuu ili kuwajengea uwezo utakaosaidia kuleta maendeleo ya TEHAMA nchini ikiwa ni pamoja na kuwaandaa vijana hao kutoa mchango katika utekelezaji wa Mradi wa Tanzania ya Kidijitali.

Mhe. Ndejembi amesema hayo jijini Dodoma, wakati akifunga mafunzo ya TEHAMA kwa vijana hao wa vyuo vikuu yanayotolewa kupitia Kituo cha Utafiti, Ubunifu na Uendelezaji wa Mifumo cha Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA). 

Naibu Waziri Ndejembi amesema, Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan imeelekeza nguvu nyingi katika utekelezaji wa Mradi wa Tanzania ya Kidijitali ambao unahitaji wataalam na ndio sababu ya serikali kutoa mafunzo ya TEHAMA kwa vijana ya vyuo vikuu.

“Ninyi vijana mliopatiwa mafunzo kupitia kituo hiki cha Utafiti, Ubunifu na Uendelezaji wa Mifumo cha eGA ndio wataalam mnaotegemewa kutoa mchango ili kufikia lengo la Mhe. Rais la kuwa na Tanzania ya Kidijitali,” Mhe. Ndejembi amesisitiza.

Mhe. Ndejembi ameongeza kuwa, uwepo wa kituo hicho cha Utafiti, Ubunifu na Uendelezaji wa Mifumo ni sehemu ya utekelezaji wa azma ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ya kuwa na kituo kitakachokuwa ni kitovu cha kukuza vipaji katika eneo la TEHAMA.

Mhe. Ndejembi ameipongeza Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) kwa kuanzisha kituo hicho kitakachosaidia kufikia lengo la Mhe. Rais la kuzalisha wataalam wengi wa TEHAMA ambao watakaotoa mchango katika kubuni mifumo imara itakayoboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.

Naye, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA), Mhandisi Benedict Ndomba amesema, suala la utafiti na ubunifu limepewa kipaumbele na eGA katika kuendeleza jitihada za serikali mtandao ndio maana ilianzisha Kituo cha Utafiti, Ubunifu na Uendelezaji wa Mifumo ya TEHAMA ambacho ndani ya muda mfupi kimekuwa na faida katika kukuza vipaji vya vijana wa Vyuo Vikuu kwenye eneo la TEHAMA.

Kwa upande wake, Mwakilishi wa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Cosmas Ngangaji amesema kuwa, kazi ya utafiti na ubunifu wa mifumo inayofanywa na vijana hao wa vyuo vikuu waliopatiwa mafunzo ya TEHAMA, itasaidia kurahisisha utendaji kazi wa serikali na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.

Mmoja wa vijana wa vyuo vikuu walionufaika na mafunzo yanayotolewa katika Kituo cha Utafiti na Ubunifu wa Mifumo cha eGA, Bi. Osrida Efraim amesema kuwa, amepata ujuzi wa masuala ya TEHAMA ambao utamuwezesha kutoa mchango katika kubuni mifumo ya TEHAMA itakayoboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.

Mnufaika mwingine wa kituo hicho, Bw. Mpotisambo Zamea amesema ujuzi alioupata utamuwezesha kutoa mchango kwa serikali katika usimamizi wa mifumo ya TEHAMA ya utoaji huduma kwa umma, ikiwa ni pamoja na kuimarisha usalama wa mifumo hiyo.

Kituo cha Utafiti, Ubunifu na Uendelezaji wa Mifumo cha Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) kilichoanzishwa kwa ajili ya kupokea wanafunzi wa mazoezi kwa njia vitendo kutoka katika vyuo vikuu kinaendelea kutoa mafunzo kwa vijana wa vyuo hivyo watakaopata fursa ya kuchaguliwa, ili wawe na ujuzi utakaokuwa na tija katika kubuni mifumo ya TEHAMA itakayowezesha kufikia lengo la serikali la kuwa na mifumo imara itakayoboresha utoaji wa huduma kwa wananchi. 

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza wakati akifunga mafunzo kwa vijana wa Vyuo Vikuu waliokuwa wakifanya utafiti na ubunifu wa mifumo ya TEHAMA kupitia Kituo cha Utafiti, Ubunifu na Uendelezaji wa Mifumo cha Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) jijini Dodoma.

Vijana wa Vyuo Vikuu waliokuwa wakifanya utafiti na ubunifu wa mifumo ya TEHAMA kupitia Kituo cha Utafiti, Ubunifu na Uendelezaji wa Mifumo cha Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) wakimsikiliza Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao wakati akifunga mafunzo hayo ya ubunifu na utafiti jijini Dodoma.

Mwakilishi wa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bw. Cosmas Ngangaji akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deogratius Ndejembi kuzungumza na Vijana wa Vyuo Vikuu waliokuwa wakifanya utafiti na ubunifu wa mifumo ya TEHAMA kupitia Kituo cha Utafiti, Ubunifu na Uendelezaji wa Mifumo cha Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA), Mhandisi Benedict Ndomba akiwasilisha taarifa kwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi kuhusu utekelezaji wa kazi za utafiti na ubunifu wa mifumo ya TEHAMA zilizokuwa zikifanywa na Vijana wa Vyuo Vikuu kupitia Kituo cha Utafiti, Ubunifu na Uendelezaji wa Mifumo cha Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) jijini Dodoma.

Mmoja wa vijana wa Vyuo Vikuu wanaopatiwa mafunzo ya utafiti na ubunifu wa mifumo ya TEHAMA kupitia Kituo cha Utafiti, Ubunifu na Uendelezaji wa Mifumo cha Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA), Bi. Osrida Efraim akishukuru kupata fursa ya kujifunza kwa njia ya vitendo katika Kituo hicho wakati Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi alipokuwa akifunga mafunzo hayo jijini Dodoma.

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza na vijana wa Vyuo Vikuu waliokuwa wakifanya utafiti na ubunifu wa mifumo ya TEHAMA kupitia Kituo cha Utafiti, Ubunifu na Uendelezaji wa Mifumo cha Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) wakati akifunga mafunzo kwa vijana hao jijini Dodoma.

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya vijana wa Vyuo Vikuu wanaofanya utafiti na ubunifu wa mifumo ya TEHAMA kupitia Kituo cha Utafiti, Ubunifu na Uendelezaji wa Mifumo cha Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) mara baada ya kufunga mafunzo hayo ya utafiti na ubunifu jijini Dodoma. Wa kwanza kushoto kwake ni Mwakilishi wa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bw. Cosmas Ngangaji na wa kwanza kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) Mhandisi Benedict Ndomba.

About the author

Alex Sonna