Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI AZINDUA KAMPENI YA ” UZAZI NI MAISHA” ZANZIBAR

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akianzisha Mbio fupi za kilomita 10  pamoja na matembezi ya kilomita 5 kuanzia viwanja wa Maisara Suleiman Jijini Zanzibar mpaka Uwanja wa Amaan Studium,zilizoandaliwa na  Jumuiya ya AMREF HEALTH AFRICA ,ambapo Viongozi mbali mbali wameshiriki katika matembezi hayo.  

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiongoza matembezi ya kilomita 5 yaliyofayika leo  kuanzia  viwanja wa Maisara Suleiman Jijini Zanzibar hadi uwanja wa Amaan Studium ikiwa ni kampeni ya “Uzazi ni Maisha”yaliyoandaliwa na Jumuiya ya AMREF HEALTH AFRICA ,ambapo Viongozi mbali mbali  matembezi hayo   .

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiongoza matembezi ya kilomita 5 yaliyofayika leo  kuanzia  viwanja wa Maisara Suleiman Jijini Zanzibar hadi uwanja wa Amaan Studium ikiwa ni kampeni ya “Uzazi ni Maisha”yaliyoandaliwa na Jumuiya ya AMREF HEALTH AFRICA ,ambapo Viongozi mbali mbali  matembezi hayo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokea zawadi maalum kutok kwa Mkurugenzi Mkaazi wa  AMREF HEALTH AFRICA Dr. Florence Temu katika hafla ya Kuchangia Kampeni ya “Uzazi ni Maisha ambayo imejumuisha wanamichezo mbali mbali ka matembezi ya  kilomita 5  pamoja na mbio fupi za kilomita 10 kuanzia viwanja wa Maisara Suleiman Jijini Zanzibar mpaka Uwanja wa Amaan Studium,zilizoandaliwa na  Jumuiya ya AMREF HEALTH AFRICA   ,ambapo Viongozi mbali mbali wameshiriki katika matembezi hayo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi cheti cha shukrani Nd,Paul Sabato wa Nerula Healthcare LDT  katika hafla ya Kuchangia Kampeni ya “Uzazi ni Maisha ambayo imejumuisha wanamichezo mbali mbali ka matembezi ya  kilomita 5  pamoja na mbio fupi za kilomita 10 kuanzia viwanja wa Maisara Suleiman Jijini Zanzibar mpaka Uwanja wa Amaan Studium,zilizoandaliwa na  Jumuiya ya AMREF HEALTH AFRICA .

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa  Mkurugenzi wa Miradi Amref Dr.Aisha Muya wakati alipotembelea katika maonesho ya kazi na huduma mbali mbali zinazotolewa na Shirika hilo katika  hafla ya Kuchangia Kampeni ya “Uzazi ni Maisha ambayo imejumuisha wanamichezo mbali mbali kwa matembezi ya  kilomita 5  pamoja na mbio fupi za kilomita 10 kuanzia viwanja wa Maisara Suleiman Jijini Zanzibar mpaka Uwanja wa Amaan Studium,zilizoandaliwa na  Jumuiya ya AMREF HEALTH AFRICA .

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto)akiwa na mama mariam Mwinyi  wakipata maelezo kutoka kwa  Mhamasishaji Kituo cha Afya cha mama na Mtototo Nd.Kassim Issa Kirobo (kulia) wakati alipotembelea  katika maonesho ya kazi na huduma mbali mbali zinazotolewa na kituo hicho  katika  hafla ya Kuchangia Kampeni ya “Uzazi ni Maisha ilizoandaliwa na  Jumuiya ya AMREF HEALTH AFRICA kwa mbio fupi za kilomita 10 na  matembezi ya Kilomota 5  kuanzia viwanja wa Maisara Suleiman Jijini Zanzibar mpaka Uwanja wa Amaan Studium, .

Picha na Ikulu

About the author

mzalendoeditor