marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

anadoluslot

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

savoycasino

porno izle

boostaro review

casibom giriş

betticket

NervEase

Çanakkale Escort

Denizli Escort

izmit escort

matbet

vdcasino

meritking giriş

kavbet

bets10 giriş

holiganbet

holiganbet

teosbet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

betgaranti

ngsbahis

mavibet

parmabet

mislibet

norabahis

artemisbet

nitrobahis

betpuan

jojobet

betasus giriş

kingroyal giriş

kulisbet, kulisbet giriş

vdcasino, vdcasino giriş

kralbet, kralbet giriş

alobet, alobet giriş

jojobet

restbet

jojobet

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

Featured Kitaifa

VYAMA VYA USHIRIKA KUSAJILIWA KIDIGITALI

Written by Alex Sonna
NAIBU Mrajis wa Vyama vya Ushirika kutoka tume ya maendeleo ya ushirika Bw. Collins Nyakunga ,akizungumza na waandishi wa  habari kwenye banda la tume hiyo kwenye maonyesho ya 88 yanayofanyika Nzuguni Jijini Dodoma kuelezea mipango mbalimbali inayofanyika na tume hiyo.
NAIBU Mrajis wa Vyama vya Ushirika kutoka tume ya maendeleo ya ushirika Bw. Collins Nyakunga akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari kwenye banda la tume hiyo kwenye maonyesho ya 88 Jijini Dodoma kuelezea mipango mbalimbali inayofanyika na tume hiyo.
Baadhi ya wananchi waliofika katika banda la tume ya maendeleo ya ushirika jijini Dodoma wakipata elimu ya ushirika katika maonyesho ya 88 kanda ya kati Jijini Dodoma.
…………………………….
Na Alex Sonna-DODOMA
TUME  ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC)  inatarajia kuanza kutumia Mfumo wa kielekroniki katika kusajili wanachama katika vyama vya ushirika ili kudhibiti na kuongeza uwazi katika usimamizi wa vyama vya ushirika na kuondoa changamoto ya Usimamizi katika  Vyama vya Ushirika Nchini.
Hayo yamebainishwa Jijini Dodoma leo Agosti 03, 2022 kwenye Maonesho ya Nane Nane Kanda ya Kati na Naibu Mrajis wa Vyama vya Ushirika, Collins Nyakunga ambapo amesema lengo la kusajili Vyama na wanachama kwa njia ya kielektroniki ni kuongeza Usimamizi kwenye vyama hivyo.  
“Ushirika ni sehemu inayowanufaisha wananchi katika shughuli zao za kilimo, uvuvi na mifugo kwa kutambulika na kulinda maslahi ya wananchi kwa kuwasajili kidigitali ili mchango wao katika maendeleo ya nchi uweze kufahamika,” amesema Nyakunga.
“Kulikuwa na changamoto katika kuwafikia wanachama kwenye Vyama vya Ushirika na hivyo kufanya ukaguzi kuwa mgumu maana Maafisa Ushirika waliopo sio wengi lakini sasa tutavifikia kupitia Mfumo wa kielekroniki na kuvikagua kirahisi,” amesema.
Kupitia usajili kwa njia ya TEHAMA vyama vyote vitatambulika na itakuwa rahisi kufahamu mchango wa Ushirika katika Pato la Taifa na hakutakuwa na ugumu kupata takwimu na taarifa za Ushirika.
Amesema kwenye Ushirika kuna manufaa makubwa tofauti na kusimama Mvuvi, Mfugaji au Mkulima akiwa peke yake kwa kuwa hataweza kupata nguvu ya Soko la bidhaa zake. 
Amebainisha kuwa awali zao la Kakao kilo moja ilikuwa inanunuliwa Shilingi 1,800 lakini mara baada ya kuanza kuuzwa kupitia Mfumo wa Ushirika, bei imepanda hadi kufika zaidi ya Shilingi 5,000. 
“Miaka ya nyuma, kwenye zao la Korosho kulikuwa na udanganyifu wa vipimo na bei ilikuwa ndogo sana, lakini baada ya Mfumo wa Ushirika kuanza kutumika sasa bei ni zaidi ya Shilingi 1,600, 2,000 hadi 3,000 kwa kilo moja, haya ndio manufaa ya Ushirika shirika” amesema Naibu Mrajis wa Vyama vya Ushirika.

About the author

Alex Sonna