Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA SKULI YA MSINGI KOJANI PEMBA

Written by mzalendoeditor

WAZEE wa Kojani wakisubiri kumpokea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  kwa ajili ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Msingi Kojani inayojengwa kwa Fedha za Uviko-19, akiendelea na ziara yake Pemba leo 25-7-2022 kutembelea Miradi mbalimbali ya Maendeleo Pemba.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akiwasalimia Wananchi wa Kojani alipowasili kwa ajili ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Msingi Kojani inayojengwa kwa Fedha za Uviko-19, na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe. Salama Mbarouk na Mkuuwa Kikosi cha KMKM Zanzibar Commodore Azana Hassan Msingiri.(

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akiwasalimia Wananchi wa Kojani walipowasili kwa ajili ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Msingi ya Kojani inayojengwa kwa Fedha za Uviko-19,akiwa katika ziara yake Pemba kutembelea Miradi ya Maendeleo ya Mikoa miwili ya Pemba 

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia Wananchi wa Kojani wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Msingi Kojani Pemba inayojengwa kwa Fedha za Uviko-19.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia Wananchi wa Kojani Pemba baada ya kuweka  Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Msingi Kojani, inayojengwa kwa Fedha za Uviko -19,leo 25-7-2022, akiwa Pemba akiendelea na ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo katika Mikoa miwili ya Pemba.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor