Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

pusulabet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino

jojobet

Jojobet

tipobet

Redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Featured Kitaifa

SERIKALI YAONYA WABADHIRIFU WA FEDHA ZA USHIRIKA,YATAKA WAAJIRI KULIPA MAKATO YA SACCOS KWA WAKATI

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde, akizungumza wakati  akifunga Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani 2026 leo Julai 6,2026 jijini Dodoma kwa niaba ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba.

Na Alex Sonna, Mzalendo Blog –DODOMA 

SERIKALI imewataka viongozi wa vyama vya ushirika nchini kuendesha taasisi hizo kwa uwazi, uwajibikaji na uadilifu, huku ikionya kuwa haitasita kuwachukulia hatua kali za kisheria viongozi watakaobainika kujihusisha na ubadhirifu wa fedha za wanachama.

Kauli hiyo imetolewa leo Julai 6, 2026 jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde, wakati  akifunga Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani 2026 kwa niaba ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba.

Mhe.Silinde amesema Serikali itaendelea kushirikiana na Wizara ya Kilimo, Tume ya Maendeleo ya Ushirika pamoja na wadau mbalimbali kutatua changamoto zinazoikabili sekta ya ushirika ili kuongeza mchango wake katika maendeleo ya uchumi wa taifa.

 “Uwazi na uwajibikaji ni msingi wa kujenga imani ya wanachama na wadau, akibainisha kuwa vyama vinavyozingatia misingi hiyo hujenga demokrasia ya kiuchumi na maendeleo endelevu.”amesema Mhe.Silinde

Aidha, ametoa onyo kali kwa viongozi wanaotumia nafasi zao kujinufaisha kwa fedha za wanachama, Serikali haitavumilia vitendo vya ubadhirifu.

“Tutakamata viongozi wote wanaohusika na ubadhirifu na tutawafunga. Hatuna mchezo kwenye hili,” amesisitiza

Ameongeza kuwa baadhi ya watu hujiunga na vyama vya ushirika kwa lengo la kujinufaisha badala ya kuviendeleza, jambo ambalo Serikali imejipanga kulidhibiti kupitia hatua madhubuti za kisheria.

Katika hatua nyingine, Serikali imewaagiza wakurugenzi wa halmashauri pamoja na waajiri wote wanaodaiwa fedha za makato ya wanachama wa Vyama vya Ushirika vya Akiba na Mikopo (SACCOS) kuhakikisha wanazipeleka kwa wakati, ikieleza kuwa kuchelewesha fedha hizo ni aina ya unyonyaji unaodhoofisha maendeleo ya sekta ya ushirika.

Vilevile, Serikali imewahimiza vyama vya ushirika kutumia kikamilifu fursa zilizopo katika masoko ya kikanda na kimataifa ili kuongeza thamani ya bidhaa na mapato ya wanachama, sambamba na kuendelea kutekeleza kampeni ya “Linda Ushirika, Chagua Uadilifu” inayolenga kuimarisha uwazi, uwajibikaji na mapambano dhidi ya rushwa na ubadhirifu.

Silinde amesema Serikali itaendelea kuweka mazingira rafiki yatakayowawezesha vijana na wanawake kushiriki kikamilifu katika shughuli za ushirika, akieleza kuwa makundi hayo ni nguzo muhimu ya maendeleo ya uchumi na ustawi wa jamii.

Amewataka pia wanachama kutekeleza wajibu wao kwa uadilifu, kulinda mali za vyama vyao na kushiriki kikamilifu katika uchaguzi wa viongozi waadilifu ili kuhakikisha ushirika unakuwa chachu ya maendeleo ya wananchi.

 Ametoa  wito kwa wadau wote wa ushirika kujenga vyama vinavyozingatia matumizi ya teknolojia, kuongeza thamani ya mazao na kuwashirikisha makundi yote ya kijamii, hatua hiyo itasaidia kufanikisha utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 na kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara na uwekezaji barani Afrika.

Kwa upande wake  Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Maendeleo ya Mazao na Usalama wa Chakula, Profesa Peter Msoffe, amesema Serikali itaendelea kuimarisha sekta ya ushirika kwa kuweka mazingira yatakayoongeza tija ya wakulima, kuinua kipato chao na kuimarisha usalama wa chakula.

Profesa Msoffe amesema mikakati hiyo inajumuisha kuimarisha utawala bora, matumizi ya teknolojia za kidijitali, upatikanaji wa mitaji na huduma za kifedha pamoja na kuhamasisha uongezaji thamani wa mazao ili kuongeza ushindani wa bidhaa za Tanzania katika masoko ya ndani na nje ya nchi.

 “Serikali itaendelea kuwawezesha vijana na wanawake kushiriki kikamilifu katika shughuli za ushirika pamoja na kushirikiana na taasisi za elimu kutoa mafunzo ya mara kwa mara kuhusu uongozi, usimamizi wa fedha, biashara na matumizi ya teknolojia.”amesema Profesa Msoffe

Naye  Mrajis na Mtendaji Mkuu Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson Ndiege,, amesema ushirika imara ni msingi wa uchumi imara na maendeleo endelevu ya wananchi.

Amesema kuimarika kwa vyama vya ushirika kutasaidia kuongeza mshikamano wa kijamii, kupunguza changamoto za kiuchumi zinazowakabili wananchi na kuimarisha amani katika familia na taifa.

Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani mwaka 2026 yamefanyika chini ya kaulimbiu Ushirika kwa Dunia yenye Amani,” yakihusisha viongozi wa Serikali, wadau wa maendeleo na wanaushirika kutoka maeneo mbalimbali nchini.

Awali Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania, Tito Haule, ameiomba Serikali kuifanyia kazi changamoto ya upatikanaji wa masoko ya uhakika kwa mazao ya kimkakati, akisema jambo hilo linaendelea kukwamisha maendeleo ya vyama vingi vya ushirika nchini.

Amesema upatikanaji wa masoko kwa mazao ya kimkakati kama korosho, pamba, chai na tumbaku bado ni changamoto kubwa inayokwamisha ustawi wa vyama vya ushirika na wanachama wake.

Aidha, ameiomba Serikali kuhuisha Sera ya Ushirika ya mwaka 2022, akisema bado inatumika licha ya kubadilika kwa mazingira ya kiuchumi, kijamii na kiteknolojia kwa kiwango kikubwa.

Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde,akitembelea na kukagua mabanda mbalimbali  wakati  akifunga Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani 2026 leo Julai 6,2026 jijini Dodoma kwa niaba ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba.

Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde,akitembelea na kukagua mabanda mbalimbali  wakati  akifunga Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani 2026 leo Julai 6,2026 jijini Dodoma kwa niaba ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba.

 Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde,akitembelea na kukagua mabanda mbalimbali  wakati  akifunga Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani 2026 leo Julai 6,2026 jijini Dodoma kwa niaba ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba.

Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde, akizungumza wakati  akifunga Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani 2026 leo Julai 6,2026 jijini Dodoma kwa niaba ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba.

Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde, akizungumza wakati  akifunga Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani 2026 leo Julai 6,2026 jijini Dodoma kwa niaba ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba.

Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde, akizungumza wakati  akifunga Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani 2026 leo Julai 6,2026 jijini Dodoma kwa niaba ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba.

Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Maendeleo ya Mazao na Usalama wa Chakula, Profesa Peter Msoffe,  akizungumza wakati  akifunga Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani 2026 leo Julai 6,2026 jijini Dodoma.

Mrajis na Mtendaji Mkuu Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson Ndiege,  akizungumza wakati  akifunga Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani 2026 leo Julai 6,2026 jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde,(hayupo pichani)  wakati  akifunga Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani 2026 leo Julai 6,2026 jijini Dodoma kwa niaba ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba.

About the author

Alex Sonna