marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

bets10

NervEase

mersin escort

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

imajbet

sekabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

pashagaming

şğp

pusulabet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

sonbahis

sonbahis

marsbahis

perabet giriş

imajbet

klasbahis

bahiscasino

goldenbahis

savoybetting

klasbahis giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

betcio, betcio giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

madridbet

casibom giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

sahabet

Madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

casibom

marsbahis

jojobet giriş

jojobet

alobet

alobet giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

jojobet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

jojobet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

türkçe altyazılı porno izle

jojobet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

grandpashabet

vdcasino

bets10 giriş

imajbet giriş

milanobet

imajbet

perabet giriş

perabet

ngsbahis

kralbet giriş

safirbet

สล็อตเว็บตรง

bets10

casibom giriş

jojobet

holiganbet

bets10

trust score weak 3

jojobet

slot siteler

casino siteleri

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey giriş

betturkey

betsat

betsat giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu veren siteler

sekabet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

gonebet, gonebet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

superbetin

sahabet

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

onwin

romabet

betsilin

güvenli casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

superbetin

jojobet

jojobet giriş

ilbet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

marsbahis

matbet

jojobet

queenbet

Featured Kitaifa

HUDUMA ZA MAWASILIANO ZAENDELEA KUBORESHWA MSOMERA

Written by Alex Sonna

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Jim Yonazi (kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Mhandisi Peter Ulanga (wa tatu kulia), Mtendaji Mkuu wa Mfukko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Bi. Justina Mashiba (wan ne kulia) na mwenyekiti wa kijiji cha Msomera, Bw. Martine Oleikai Paraketi eneo la ujenzi wa mnara wa mawasiliano wa TTCL wakati wa ziara ya Makatibu Wakuu na Kamati Tendaji kukagua miundombinu na ufikishaji wa huduma mbalimbali za kijamii kwa wananchi wanaohamia kwa hiari katika kijiji cha Msomera wilaya ya Handeni wakitokea katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro,

Matukio mbalimbali katika picha wakati wa ziara ya Makatibu Wakuu ya kukagua miundombinu na ufikishaji wa huduma mbalimbali za kijamii ikiwemo miundombinu ya sekta ya mawasiliano, maji, elimu, mifugo, barabara na afya kwa wananchi wa wanaohamia kwa hiari katika kijiji cha Msomera wilaya ya Handeni wakitokea katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro,

………………………………………………………..

Na Mwandishi Wetu, WHMTH, MSOMERA

SERIKALI kupitia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari pamoja na taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo zimeendelea kuboresha upatikanaji wa huduma za Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa jamii ya wafugaji wa kijiji cha Msomera kilichopo Handeni, Tanga ambao ni wakaazi wapya waliohamia kwa hiyari katika kijiji hicho wakitokea katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro 

Hayo yamezungumzwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Jim Yonazi wakati wa ziara ya Makatibu Wakuu katika kijiji cha Msomera iliyofanyika jumatano ya Julai 7, 2022 ya kukagua ujenzi wa miundombinu na ufikishaji wa huduma mbalimbali za kijamii kwa wananchi hao

“Tutahakikisha upande wa mawasiliano hakuna changamoto tena katika kijiji hiki cha Msomera, tutaendelea kuratibu kadiri ambavyo wananchi wanaendelea kuongezeka katika kijiji hiki ili kila mmoja apate huduma bora za mawasiliano ya simu, redio, televisheni pamoja na  Anwani ya Makazi ili waweze kushiriki katika uchumi wa kidijiti”, amesisitiza Dkt. Yonazi

Amesema kuwa, Wizara hiyo inalo jukumu la kuwezesha na kuhakikisha wananchi wa jamii zote ikiwa ni pamoja na jamii hiyo ya wafugaji wanakuwa na uwezo wa kupata na kutumia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ili waweze kushiriki kikamilifu katika kujenga uchumi wa nchi hasa uchumi wa kidijiti 

Ameongeza kuwa, Wizara hiyo kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inaendelea na uratibu kuhakikisha kunakuwa na maabara za kompyuta zenye vifaa vya TEHAMA (kompyuta, Printa na Projekta) katika shule ya msingi na sekondari zilizojengwa katika kijiji hicho ili kuboresha mazingira ya kufundishia na wanafunzi waweze kujifunza kisasa zaidi kupitia TEHAMA

 

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia sekta ya Mifugo, Bw. Tixon Nzunda, ameipongeza Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa kufikisha huduma za mawasiliano katika kijiji hicho  ambazo zinarahisisha utoaji wa huduma kwa wananchi waliohamia Msomera ambao asili yao ni wafugaji ambapo wataweza kupata vibali vya kusafirisha mifugo na mazao yatokanayo na mifugo kwa njia ya mtandao kupitia simu ya mkononi au kompyuta kwa kuingia kwenye mfumo wa kielektroniki unaoitwa “Mifugo Integrated Management Information System” (MIMIS )

Naye Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Bi. Justina Mashiba amesema kuwa ujenzi wa mnara wa kudumu unaojengwa na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) katika kijiji cha Msomera unajengwa kwa ruzuku ya Serikali kupitia mfuko huo ambapo watoa huduma wengine wanaweza kupangisha kwa kuweka vifaa vyao na kuendelea kutoa huduma katika kijiji hicho

Akizungumza katika ziara hiyo, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Mhandisi Peter Ulanga amesema kuwa ifikapo Julai 14, 2022 huduma za mawasiliano ya TTCL zitaanza kupatikana katika kijiji hicho lakini pia hadi mwishoni mwa mwezi Julai huduma za mawasiliano za kampuni za Tigo, Airtel, Halotel na Vodacom zitakuwa zinapatikana katika kijiji hicho ambapo wataweka vifaa vyao katika mnara huo 

Ameongeza kuwa ili kuhakikisha kunakuwa na mawasiliano ya uhakika katika kijiji hicho, TTCL itafikisha Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika kijiji hicho ili kuhakikisha aina ya mawasiliano ya teknolojia ya 2G hadi 4G yanakuwa ya uhakika na kasi zaidi katika eneo lote la Msomera

Naye Mwenyekiti wa kijiji ncha Msomera, Bw. Martine Oleikai Paraketi ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia kwa kuamua kuboresha sekta ya elimu kwa kuwezesha wanafunzi wa kijiji cha Msomera kujifunza kupitia vifaa vya TEHAMA na intaneti kuanzia shule ya msingi na Sekondari na wana imani kuwa Msomera itazalisha wasomi wengi.

Kundi la nne la wananchi wanaohama katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro kwa hiyari kwenda katika kijiji cha Msomera, wilaya ya Handeni Mkoa wa Tanga lenye kaya 32 na jumla ya watu 188 na mifugo 880 limewasili na kupokelewa na Makatibu Wakuu wakiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Bw. Kaspar Mmuya, Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Mhe. Siriel Mchembe pamoja na wananchi, Julai 7,2022.

About the author

Alex Sonna