marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

marsbahis giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

matbet

teosbet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

casinoroyal

kavbet

marsbahis

perabet giriş

kavbet

casinowon giriş

mavibet giriş

imajbet

mavibet

pashagaming

marsbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

betgar, betgar giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

betkolik, betkolik giriş

jojobet

restbet

jojobet giriş

restbet

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

bettilt

trimology review

celtabet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

betosfer

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

norabahis

starzbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

kıbrıs escort

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

ilbet

ilbet giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

bets10 giriş

Fixbet

jojobet

grandpashabet

galabet

İkimisli

onwin

sahabet

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10 giriş

casibom

lunabet

lunabet giriş

imajbet

bahiscasino

perabet

lunabet

kavbet

artemisbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

ifşa

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

bets10

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

grandpashabet

Hacklink Panel

nesinecasino

vdcasino

bets10

perabet

perabet

perabet giriş

artemisbet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

imajbet

สล็อตเว็บตรง

bets10 giriş

bettilt giriş

holiganbet giriş

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

Holiganbet

hitbet

kavbet

kavbet

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

dinamobet

netbahis

1xbet giriş

vipslot

galabet giriş

interbahis

Featured Kitaifa

WAZIRI UMMY AZINDUA MITAMBO YA KUZALISHA HEWA TIBA

Written by Alex Sonna

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu akizindua mitambo ya  kuzalisha hewa tiba ya Oksjeni  iliyogharimu bilioni 1.5 ambapo  zimetumika kununua mitambo, gari ya kusambazia mitungi ya oksijeni, mitungi 560  pamoja na ujenzi wa jengo ambalo mitambo hiyo imefungwa.waziri ummy mwalimu akiangalia mitambo hiyoWaziri ummy mwalimu akiwasha mitambo hiyo ya kuzalisha hewa tiba ya oksijeni ambao unazalisha mitungi 400 kwa siku na ina sehemu mbili ambazo hazitegemeani, hivyo kuweza kuwasha sehemu moja  kipindi mahitaji yanaposhuka na pia kuhakikisha  uzalishaji unaenendelea wakati wote hata wakati  wa matengenezo kinga inapolazimu kuzima upande mmoja. jengo la mitambo ya kuzalisha hewa tiba ya oksijenmi iliyojengwa kwenye hospitali ya kanda ya Benjamin MkapaWaziri wa Afya Ummy Mwalimu akizindua kitabu cha mwongozo wa utoaji dawa (Benjamin Mkapa Hospital Formulary ) utakaotumiwa na waandika dawa (Prescribes), wafamasia, wachunguzi na wauguzi.Baadhi ya mitungi ya gesi iliyoko kwenye jengo hilo(Picha zote na Engliberth Kayombo)Picha ya pamoja ya Waziri wa Afya Ummy mwalimu, mwenyekiti wa bodi ya udhamini wa hospitali hiyo dkt. deo Mtasiwa(kushoto),mkurugenzi mtendaji wa Hospitali hiyo Dkt. Alphonce Chandika(Kulia) pamoja na viongozi wa Wizara ,hospitali na wajumbe wa bodi ya hospitali mara baada ya uzinduzi wa mitambo hiyo.

……………………………..

Na.Catherine Sungura,WAF-Dodoma
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amezindua mitambo wa hewa tiba ya Oksijeni wenye thamani ya bilioni 1.5 kwenye hospitali ya Benjamnin Mkapa iliyoko jijini Dodoma.
Waziri Ummy amesema usimikaji wa mitambo hiyo ni sehemu ya mikakati ya Serikali ya Awamu ya Sita katika kuhakikisha kuwa huduma zinaboreshwa na kuongeza kuwa katika kipindi cha mwaka mmoja mitambo 14 imeshasimikwa kwenye hospitali za rufaa za mikoa nchini.
“Sisi kama Sekta tumejiwekea vipaumbele vyetu ambavyo Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan ingependa kuviona tunavitekeleza, kipaumbele kikubwa  ni ubora wa huduma za afya, hivyo mitambo hii ina lengo la kuokoa maisha kwa wananchi wake”.
Waziri Ummy amesema wanatarajia kusimika mitambo mingine  57 ya hewa tiba ya Oksijeni kwenye hospitali za rufaa za mikoa,Kanda pamoja na Wilaya nchini.
Aidha, Waziri Ummy ameipongeza hospitali hiyo pamoja na Mkurugenzi Mtendaji Dkt.Alphonce Chandika  kwa kuhakikisha kuwa kazi ya usimikaji wa mitambo huo unakamilika kwa wakati  na unazingatia viwango vinavyotakiwa
Ameongeza kuwa mitambo hiyo haitosaidia hospitali hiyo tu bali hata hospitali na vituo vya mikoa wa Dodoma na mikoa ya jirani ikiwemo Manyara, Singid na Iringa.
Pia amesema licha ya mitambo  huo  ambao ni mradi mmoja kati ya miradi 17 ambayo inatekelezwa na Rais Samia Suluhu Hassan ambapo jumla  ya takribani Bilioni 10.02 zimeelekezwa katika kukamilisha miradi hiyo hospitalini hapo.
Naye,Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali hiyo Dkt. Alphonce Chandika amesema mitambo hiyo inazalisha mitungi 400 kwa siku na una sehemu mbili ambazo hazitegemeana hivyo unaweza kuwasha sehemu moja kipindi unatumia ili kuhakikisha uzalishaji unaendelea wakati wote hata wakati wa matengenezo kinga inapolazimu kuzima upande mmoja.
Dkt.Chandika aliongeza kabla ya hapo hospitali ilikua ikitumia mitungi 200 kwa mwezi  lakini kipindi cha UVIKO-19  matumizi yakiongezeka  hadi kutumia mitungi 200 kwa siku  na hivyo kuongeza gharama za uendeshaji wa hospitali na kutumia  milioni 10 kwa siku badala ya milioni 10 kwa mwezi kwa kipindi hicho cha UVIKO-19.
Bilioni 1.5 zimetumika kununua mitambo miwilli  aina ya Ozcan Kardesler Tip Cihazlari San,mitungi ipatayo 560 ya hewa tiba,gari la kusambazia mitungi ya Oksijeni pamoja na ujenzi wa jengo ambalo mitambo imefungwa.

About the author

Alex Sonna