Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA:MAKAMU WA RAIS AHUTUBIA MKUTANO WA UN WA BAHARI

Written by mzalendoeditor

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akishiriki Ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa Umoja wa Mataifa kuhusu Uhifadhi wa Bahari na Rasilimali zake unaofanyika  Lisbon nchini Uren leo tarehe 27 Juni 2022.Lengo la Mkutano huo ni kuhamasisha juhudi za Mataifa katika kufanikisha utekelezaji wa Lengo la 14 la Maendeleo Endelevu.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akihutubia  wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa Umoja wa Mataifa kuhusu Uhifadhi wa Bahari na Rasilimali zake unaofanyika  Lisbon nchini Ureno

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa mbalimbali duniani  wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa Umoja wa Mataifa kuhusu Uhifadhi wa Bahari na Rasilimali zake unaofanyika  Lisbon nchini Ureno leo tarehe 27 Juni 2022.

About the author

mzalendoeditor