Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AKUTANA NA WAMILIKI WA MABASI NCHINI

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, amefanya mazungumzo na viongozi wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA). Kikao hicho kimefanyika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam leo Septemba 18, 2026.

About the author

Alex Sonna