Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

starzbet

starzbet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

jojobet

holiganbet

jojobet

maxwin

meritking

https://www.newstrendline.com/

grandpashabet

ultrabet giriş

lunabet

norabahis

setrabet

jojobet giriş

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

mavibet giriş

mavibet

royalbet giriş

mavibet giriş

norabahis giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

norabahis giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

norabahis

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betpark

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

maxwin giriş

dinamobet giriş

casibom

vaycasino

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

vaycasino

ultrabet

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu veren siteler

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

casibom

royalbet

imajbet

kafacasino

betface

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

pusulabet

betsat

betsat

vdcasino

jojobet

casibom

matbet

Jojobet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

royalbet

artemisbet

artemisbet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

betwild

jojobet

Featured Kitaifa

SERIKALI ITAENDELEZA USHIRIKIANO NA NGO’S-MAJALIWA

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika chakula cha hisani kilichoandaliwa na Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam

Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) Mama Anna Mkapa akizungumza katika chakula cha hisani  kilichoandaliwa na Mfuko huo kwenye ukumbi wa Diamond  Jubilee jijini Dar es salaam, Juni 26, 2022. Mgeni rasmi katika chakula hicho alikuwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. (

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mama Mary Majaliwa  (kushoto)  wakiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF), Mama Anna Mkapa kwenye   chakula cha hisani kilichoandaliwa na mfuko huo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, Juni 26, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

……………………………………..

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hasaan itaendeleza kukuza na kutoa ushirikiano kwa Mashirika Yasiyo ya Kiserikari (NGO) ili kuleta tija na maendeleo kwa jamii ya Watanzania.

Waziri Mkuu aliyasema hayo jana (Juni 26, 2022) wakati wa hafla ya chakula cha hisani iliyoandaliwa na Shirika Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) iliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee  Jijini Dar es Salaam.

Waziri Mkuu alisema jitihada za pamoja kati ya Serikali na EOTF zinahitajika ili kuweza kuifikia jamii yote ya Tanzania kimaendeleo.

“Mafanikio hayawezi kupatikana bila ya kuungwa mkono, wadau wetu muhimu ni kama vile Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs), wahisani kutoka sekta ya wafanyabiashara,  mashirika ya maendeleo ya kimataifa, watu binafsi na  madhehebu ya dini.”

Aliongeza kuwa ili kufanikisha maendeleo ya jamii ni lazima watu  wawezeshwe katika kuimarisha uwezo wao wa  kukabiliana na changamoto zinazowazunguka kwa kubuni mbinu  kuzitatua.

Waziri Mkuu  aliupongeza mfuko wa EOTF kwa kuendelea kutoa huduma kwa jamii ya Watanzania kwa kipindi cha miaka 25 sasa na kwamba huduma hiyo imeleta mabadiliko kwa wananchi katika nyanja za afya, elimu na uchumi.

“Wote tumesikia kuhusu historia na kazi zilizizofanywa na EOTF na mchango mkubwa wanaoutoa kwa jamii. EOFT wanastahili pongezi nyingi sana kwa jitihada kubwa wanazozifanya ambazo leo zimeifanya taasisi hii kuwa miongoni mwa taasisi imara ambazo zimekuwa zikizaa matunda. Nami nitumie fursa hii kwa moyo wa dhati kuwapongeza kwa mafanikio yote mliyoyapata katika kipindi chote cha miaka 25.”

Waziri Mkuu alimpongeza Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Mama Anna Mkapa pamoja na wadau wengine kwa kusimamia vyema utendaji wa taasisi hiyo ambayo imetimiza malengo ya kuanzishwa kwake.

“Nimefurahishwa sana na programu zinazoendeshwa na taasisi hii hususan programu ya “Women Business Center “(WBC) mnayoanzisha ambayo itatoa huduma za masoko, elimu ya ujasiriamali, biashara, upatikanaji wa mitaji, afya ya mama na mtoto.”

  

Mheshimiwa Majaliwa alihitimisha kwa kusema kuwa Serikali itaendelea na jitihada mbalimbali za kuwakwamua wananchi kiuchumi kwa kutengeneza fursa mbalimbali za kiuchumi na kutumia nyenzo za ndani kama mikopo ya asilimia 10 kwa makundi maalum pamoja na TASAF ili kuzisaidia kaya masikini kujikwamua.

Kwa uapnde wake, Mwenyekiti wa EOTF, Mama Anna Mkapa alisema katika kuelekea awamu ya pili baada ya miaka 25, taasisi hiyo imeazimia kusonga mbele kidigitali kuwafikisha walengwa wake wanapostahili kijamii, kiuchumi, kiafya na kielimu kwa kuanzisha programu ya WBC.

Alisema program hiyo itatoa huduma za masoko, elimu ya ujasiriamali, biashara, upatikanaji wa mitaji, afya ya mama na mtoto na kufungua kituo cha kuweka bidhaa za wanawake wajasiriamali kutangaza bidhaa zao ndani na nje ya nchi. Kituo hiko kitatatua matatizo ya ajira, umaskini, ujinga na maradhi katika jamii yetu.

About the author

Alex Sonna