slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bos

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

casibom giriş

NervEase

sapanca escort

google algoritma hack

escort sapanca

jojobet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

marsbahis

pusulabet giriş

jojobet giriş

grandpashabet

film izle

1xbet giriş

1xbet

gameofbet

holiganbet

marsbahis

artemisbet giriş

imajbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

noktabet, noktabet giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

jojobet

jojobet

deneme bonusu

casibom

holiganbet

jojobet

casinolevant

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

celtabet

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

taksimbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

lunabet

artemisbet

kavbet

kavbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

cratosroyalbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

kavbet giriş

imajbet

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

casibom giriş

meritking

jojobet

trust score weak 3

jojobet

bets10 giriş

slot siteleri

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

meritbet giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

primebahis

betingo, betingo giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

meritking

timebet

matbet

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

holiganbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

radissonbet

sekabet

grandpashabet

matbet

jetbahis

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

VIONGOZI TAKUKURU WEKENI JITIHADA KUBWA KUZUIA NA KUDHIBITI VITENDO VYA RUSHWA NCHINI

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza na viongozi waandamizi wa TAKUKURU wakati akifunga mafunzo ya uchunguzi kwa viongozi hao yaliyofanyika katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere, Kibaha mkoani Pwani.

Viongozi waandamizi wa TAKUKURU wakimsikiliza Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi (hayupo pichani) wakati akizungumza nao kabla ya Naibu Waziri huyo kufunga mafunzo ya uchunguzi kwa viongozi hao yaliyofanyika katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere, Kibaha mkoani Pwani.

Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Kamisha wa Polisi, Salum Hamduni akitoa taarifa ya mafunzo ya uchunguzi yaliyowashirikisha viongozi waandamizi wa TAKUKURU kwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi kabla ya Naibu Waziri huyo kufunga mafunzo hayo kwa viongozi hao katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere, Kibaha mkoani Pwani.

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akimkabidhi cheti mmoja wa viongozi wa TAKUKURU aliyeshiriki mafunzo ya uchunguzi yaliyofanyika katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere, Kibaha mkoani Pwani.

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa TAKUKURU walioshiriki mafunzo ya uchunguzi kwa viongozi waandamizi yaliyofanyika katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere, Kibaha mkoani Pwani.

…………………………………….

Na. James K. Mwanamyoto-Kibaha

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi amewataka viongozi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuweka jitihada kubwa na madhubuti katika kuzuia na kudhibiti vitendo vya rushwa nchini kwa manufaa na maendeleo ya taifa.

Mhe. Ndejembi ametoa wito huo wilayani Kibaha, wakati akifunga mafunzo ya uchunguzi kwa viongozi waandamizi wa TAKUKURU yaliyofanyika katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere iliyopo wilayani humo.

Mhe. Ndejembi amewataka viongozi hao wa TAKUKURU kuwa na jicho la ziada litakalobaini viashiria vya uwepo wa vitendo vya rushwa katika jamii, ili kuzuia rushwa isitokee kwani rushwa ni adui wa haki na maendeleo ya taifa kwa ujumla.

“Ni muhimu kwenu nyote kuwa na jicho la ziada katika kupambana na rushwa kwani kuna maeneo kwa mfano juzi nilikuwa Geita, nimekuta kuna hosteli moja imejengwa kwa shilingi 150,000,000/= lakini ndani ya mkoa huo huo kuna nyingine imejengwa kwa shilingi 128,000,000/= hivyo mkifuatilia na kuwa karibu na miradi inayotelelezwa na Serikali mnaweza kuzuia ubadhirifu,” Mhe. Ndejembi amesisitiza.

Sanjari na hilo, amewata viongozi hao wa TAKUKURU kusimamia ipasavyo uzingatiaji wa sheria za nchi, taratibu za utekelezaji wa majukumu ya TAKUKURU na kanuni zinazowaongoza katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku.

Aidha, Mhe. Ndejembi amesema kuwa, hatarajii kuona viongozi hao wakiiacha TAKUKURU iende kinyume na maelekezo ya kuzuia vitendo vya rushwa yanayotolewa na Viongozi Wakuu wa Kitaifa akiwemo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, Mhe. Jenista Mhagama, yeye mwenyewe pamoja Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU ambao Mhe. Rais amewapa dhamana ya kumsaidia kupambana na vitendo vya rushwa nchini. 

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Kamisha wa Polisi Salum Hamduni amesema mafunzo hayo ya uchunguzi kwa viongozi waandamizi wa TAKUKURU (Senior Investigation Course) ni ya kimuundo na yamefanyika kwa viongozi 40 kwa muda wa wiki mbili.

Kamishna Hamduni amesema kuwa, mafunzo hayo ya kimuundo ni muhimu kwa viongozi hao kwani yatawasaidia kuhakikisha wanatekeleza jukumu la kuwasimamia watumishi walio chini yao ikiwa ni pamoja na kutekeleza majukumu yao kama viongozi wenye dhamana ya kuhakikisha TAKUKURU inatekeleza jukumu lake la msingi ambalo ni kuzuia vitendo vya rushwa.

About the author

Alex Sonna