Featured Kitaifa

SPIKA DKT. TULIA ATETA NA WAJUMBE WA BARAZA KUU LA UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA (UWT)

Written by mzalendoeditor

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Wajumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) katika kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Mwenyekiti wa Baraza hilo, Ndg. Gaudensia Kabaka na Katibu wa Baraza hilo, Dkt. Philis Nyimbi

Wajumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wakimsikiliza Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (hayupo kwenye picha) akizungumza katika kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) baada ya kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Baraza hilo, Ndg. Gaudensia Kabaka

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

About the author

mzalendoeditor