Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI DODOMA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angelina Mabula, bungeni jijini Dodoma,

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Bukoba. Vijijini, Dkt. Jasson Rweikiza, bungeni jijini Dodoma, Juni  14, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor