Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

vdcasino

lordcasino

marsbahis

vipslot

celtabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

betlivo

eyfelcasino

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

casival

luxbet

betnis

parmabet

betvoy

grandpashabet

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

armabahis

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

betlivo

hazbet

netbahis

betra

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

robinbet giriş

betpark giriş

holiganbet

betpark

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betewin

jojobet

betmarino

avrupabet

lordcasino giriş

dengebet

celtabet

betcool

kareasbet

betcool

millibahis

betnis giriş

casival

betvoy

hazbet

betnef

avrupabet

betmarino giriş

betmani

betvakti

marsbahis

prensbet

betmani

millibahis

eyfelcasino

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

gobahis

betnef

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

armabahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

cratosroyalbet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

mislibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

betgit

sweet bonanza

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

betvakti

parmabet

gobahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

mislibet giriş

cratosroyalbet

mislibet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

betsat

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

grandpashabet

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

Featured Kitaifa

TANESCO SHINYANGA YAZINDUA RASMI MFUMO WA NI – KONEKT

Written by Alex Sonna
 
Kaimu Meneja wa TANESCO Mkoa wa Shinyanga Mhandisi Kurwa Mangara na mteja wa TANESCO Esther Makoye wakikata keki wakati wa uzinduzi wa Mfumo rahisi wa maombi ya huduma ya Umeme kwa njia ya Mtandao ‘Kidigitali’ maarufu NI- KONEKT leo Jumatatu Juni 6,2022. 
Wafanyakazi wa TANESCO Mkoa wa Shinyanga wakigonga Cheers wakati wa uzinduzi wa Mfumo wa NI- KONEKT leo Jumatatu Juni 6,2022. 
 
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Shinyanga limezindua rasmi Mfumo rahisi wa maombi ya huduma ya Umeme kwa njia ya Mtandao ‘Kidigitali’ maarufu NI- KONEKT huku likiwaomba wananchi kuchangamkia fursa hiyo ambayo inamrahisishia mteja kupata huduma za umeme bila kufika katika ofisi za TANESCO.
 
 
Uzinduzi huo umefanyika leo Jumatatu Juni 6,2022 katika ofisi za TANESCO Mkoa wa Shinyanga na kuhudhuriwa pia na wateja wa TANESCO waliofika kupata huduma za umeme.
 
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mfumo wa Ni – Konekt, Kaimu Meneja wa TANESCO Mkoa wa Shinyanga Mhandisi Kurwa Mangara amesema Mfumo wa Ni- Konekt unamuwezesha mteja kutuma na kufuatilia maombi ya umeme kwa njia ya kidigitali, kutoa taarifa za dharura, kufanya maombi yasiyo ya umeme kutoa malalamiko pamoja na kufanya maulizo mbalimbali.
 
“Kupitia mfumo huu wateja wetu watapata huduma ya umeme kwa urahisi na haraka huko waliko wakiwa wanaendelea na shughuli zao, kila kitu kitafanyika kwa njia ya digitali. Huduma hii inarahisisha sana kwa wafanyabiashara wanaohitaji huduma zetu. Pia itapunguza manung’uniko mbalimbali na mianya ya rushwa na vishoka..Ukiomba maombi SMS itakuja, hatua tutakazokuwa tunazifanya SMS itakuja kwa hiyo utakuwa unajua kila hatua inayoendelea”,amesema.
 
Mhandisi Mangara amesema ili mteja/mwombaji aweze kupata huduma ya maombi ya umeme kupitia mfumo wa Ni- konekt anapaswa kuwa na kitambulisho cha Taifa (NIDA) huku akieleza kuwa Mfumo huo unatumia njia kuu tatu kufanya kazi yaani maombi kupitia Kiswaswadu (USSD Code), Tovuti (Web portal) na Programu tumishi (Nikonekt Mobile App).
 
 
Ameeleza kuwa mteja anaweza kutumia mfumo wa Nikonekt kwa kutumia njia ya Tovuti (Web portal) ya www.tanesco.co.tz ambapo mteja anaweza kutumia simu janja, komputa au kifaa kingine chenye uweo wa Intaneti.
 
 
“Njia zinazotumika kupata mfumo wa Ni- konekt ni pamoja na kutumia namba maalumu za USSD Code (Kiswaswadu) kwa kupiga namba *152*00# kwa watumiaji wa simu za kawaida. Bonyeza *152*00#, nenda namba 4 (Nishati) kisha nenda tena namba 4 (TANESCO) baada ya hapo nenda namba 1 (Maombi ya umeme) baada ya hapo utaulizwa unahitaji kwa matumizi ya nyumbani/biashara/taasisi…Kila hatua unayofanya utakuwa unapatiwa Ujumbe (SMS) kwenye simu yako”,amesema Mhandisi Mangara.
 
 
Amesema njia nyingine ya kutumia mfumo wa Ni- konekt ni kupitia Ni-konekt Mobile App ambapo mteja anaweza kupakua Programu ya Ni- konekt kwenye simu yenye uwezo wa Intaneti ambapo App ya Ni-Konekt inapatikana kwa watumiaji wote wa simu janja (Smartphone). Kwa watumiaji wa Android , Aplikesheni ya Nikonekt inapatikana kwenye Play store na App store kwa watumiaji wa Iphone.
 
 
Nao wananchi akiwemo Esther Makoye mkazi wa Viwanja vya Mwadui Mjini Shinyanga wameipongeza TANESCO kuanzisha mfumo wa Ni – Konekt ambao amesema utawapunguzia wananchi muda na gharama za kufuata huduma za umeme katika ofisi za TANESCO.
Kaimu Meneja wa TANESCO Mkoa wa Shinyanga Mhandisi Kurwa Mangara akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mfumo rahisi wa maombi ya huduma ya Umeme kwa njia ya Mtandao ‘Kidigitali’ maarufu NI- KONEKT leo Jumatatu Juni 6,2022. Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Kaimu Meneja wa TANESCO Mkoa wa Shinyanga Mhandisi Kurwa Mangara akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mfumo rahisi wa maombi ya huduma ya Umeme kwa njia ya Mtandao NI- KONEKT mkoa wa Shinyanga leo Jumatatu Juni 6,2022.
Muonekano wa keki wakati wa uzinduzi wa Mfumo rahisi wa maombi ya huduma ya Umeme kwa njia ya Mtandao NI- KONEKT mkoa wa Shinyanga leo Jumatatu Juni 6,2022.
Wafanyakazi wa TANESCO Mkoa wa Shinyanga wakipiga picha ya kumbukumbu wakati wa uzinduzi wa Mfumo rahisi wa maombi ya huduma ya Umeme kwa njia ya Mtandao NI- KONEKT.
Wafanyakazi wa TANESCO Mkoa wa Shinyanga na wateja wakipiga picha ya kumbukumbu wakati wa uzinduzi wa Mfumo rahisi wa maombi ya huduma ya Umeme kwa njia ya Mtandao NI- KONEKT.
Kaimu Meneja wa TANESCO Mkoa wa Shinyanga Mhandisi Kurwa Mangara na mteja wa TANESCO Esther Makoye wakikata keki wakati wa uzinduzi wa Mfumo rahisi wa maombi ya huduma ya Umeme kwa njia ya Mtandao ‘Kidigitali’ maarufu NI- KONEKT leo Jumatatu Juni 6,2022. 
Mteja wa TANESCO Esther Makoye akimlisha keki Kaimu Meneja wa TANESCO Mkoa wa Shinyanga Mhandisi Kurwa Mangara  wakati wa uzinduzi wa Mfumo wa NI- KONEKT leo Jumatatu Juni 6,2022. 
Mkandarasi wa TANESCO, Mhandisi Said Mohammed akimlisha keki Kaimu Meneja wa TANESCO Mkoa wa Shinyanga Mhandisi Kurwa Mangara  wakati wa uzinduzi wa Mfumo wa NI- KONEKT leo Jumatatu Juni 6,2022. 
Kaimu Meneja wa TANESCO Mkoa wa Shinyanga Mhandisi Kurwa Mangara akimlisha keki mfanyakazi wa TANESCO wakati wa uzinduzi wa Mfumo wa NI- KONEKT leo Jumatatu Juni 6,2022.
Wafanyakazi wa TANESCO Mkoa wa Shinyanga wakigonga Cheers wakati wa uzinduzi wa Mfumo wa NI- KONEKT leo Jumatatu Juni 6,2022. 
Wafanyakazi wa TANESCO Mkoa wa Shinyanga wakiendelea kuhudumia wateja wakati wa uzinduzi wa Mfumo wa NI- KONEKT leo Jumatatu Juni 6,2022. 
Wafanyakazi wa TANESCO Mkoa wa Shinyanga wakiendelea kuhudumia wateja wakati wa uzinduzi wa Mfumo wa NI- KONEKT leo Jumatatu Juni 6,2022. 
Wafanyakazi wa TANESCO Mkoa wa Shinyanga wakiendelea kuhudumia wateja wakati wa uzinduzi wa Mfumo wa NI- KONEKT leo Jumatatu Juni 6,2022. 
Wafanyakazi wa TANESCO Mkoa wa Shinyanga wakiwa wameshikamana ‘Wame Konekt’ wakati wa uzinduzi wa Mfumo wa NI- KONEKT leo Jumatatu Juni 6,2022. 
 
Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
 

About the author

Alex Sonna