marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

pusulabet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

pashagaming

şğp

grandpashabet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

sonbahis

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

imajbet

klasbahis

savoybetting giriş

goldenbahis

savoybetting

klasbahis giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

matbet, matbet giriş

betcio, betcio giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

casibom giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

ligobet

Madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

casibom

marsbahis

jojobet giriş

jojobet

alobet

alobet giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

trendbet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

jojobet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

türkçe altyazılı porno izle

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

grandpashabet

vdcasino

bets10 giriş

imajbet giriş

milanobet

imajbet

perabet giriş

perabet

ngsbahis

kralbet giriş

milanobet giriş

สล็อตเว็บตรง

bets10

casibom giriş

jojobet

deneme bonusu

kingroyal

trust score weak 3

jojobet

slot siteler

casino siteleri

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betsat

betsat giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu veren siteler

sekabet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

marsbahis, marsbahis giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

superbetin

madridbet

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

tipobet giriş

romabet

piabellacasino

güvenli casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

bets10

jojobet

jojobet giriş

ilbet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino

marsbahis

matbet

Featured Kitaifa

RC MTAKA AONGOZA HAFLA YA WATUMISHI WA UMMA MKOA WA DODOMA KUMPONGEZA RAIS SAMIA KUBORESHA MASLAHI YA WATUMISHI

Written by Alex Sonna

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka,akizungumza leo Mei 30,2022 jijini Dodoma na Watumishi wa Umma Mkoa wa Dodoma wakati wa hafla fupi ya kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupandisha mishahara yao kwa asilimia 23.3, posho za safari na kujikimu pamoja na kulipa malimbikizo ya madeni ya muda mrefu.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka,akifafanua jambo kwa Watumishi wa Umma Mkoa wa Dodoma wakati wa hafla fupi ya kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupandisha mishahara yao kwa asilimia 23.3, posho za safari na kujikimu pamoja na kulipa malimbikizo ya madeni ya muda mrefu.

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Jabir Shekimweri,akizungumza wakati wa hafla fupi ya kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupandisha mishahara yao kwa asilimia 23.3, posho za safari na kujikimu pamoja na kulipa malimbikizo ya madeni ya muda mrefu iliyofanyika leo Mei 30,2022 jijini Dodoma.

Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Fatma Mganga,akizungumza wakati wa hafla fupi ya kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupandisha mishahara yao kwa asilimia 23.3, posho za safari na kujikimu pamoja na kulipa malimbikizo ya madeni ya muda mrefu iliyofanyika leo Mei 30,2022 jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Joseph Mafuru,akizungumza wakati wa hafla fupi ya kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupandisha mishahara yao kwa asilimia 23.3, posho za safari na kujikimu pamoja na kulipa malimbikizo ya madeni ya muda mrefu iliyofanyika leo Mei 30,2022 jijini Dodoma.

Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa Tanzania (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma Bw.Sosthenes Kibwengo,akizungumza wakati wa hafla fupi ya kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupandisha mishahara yao kwa asilimia 23.3, posho za safari na kujikimu pamoja na kulipa malimbikizo ya madeni ya muda mrefu iliyofanyika leo Mei 30,2022 jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph,akizungumza wakati wa hafla fupi ya kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupandisha mishahara yao kwa asilimia 23.3, posho za safari na kujikimu pamoja na kulipa malimbikizo ya madeni ya muda mrefu iliyofanyika leo Mei 30,2022 jijini Dodoma.

Meya wa Jiji la Dodoma, Prof David Mwamfupe,akielezea jambo  wakati wa hafla fupi ya kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupandisha mishahara yao kwa asilimia 23.3, posho za safari na kujikimu pamoja na kulipa malimbikizo ya madeni ya muda mrefu iliyofanyika leo Mei 30,2022 jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa chama cha walimu mkoa wa Dodoma Swamweli Malecela,akimpongeza Rais Samia wakati wa hafla fupi ya kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupandisha mishahara yao kwa asilimia 23.3, posho za safari na kujikimu pamoja na kulipa malimbikizo ya madeni ya muda mrefu iliyofanyika leo Mei 30,2022 jijini Dodoma.

SEHEMU ya Watumishi wa Umma Mkoa wa Dodoma wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka (hayupo pichani) wakati wa hafla fupi ya kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupandisha mishahara yao kwa asilimia 23.3, posho za safari na kujikimu pamoja na kulipa malimbikizo ya madeni ya muda mrefu.

…………………………………………….

Na Alex Sonna-DODOMA

WATUMISHI wa Umma mkoa wa Dodoma wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupandisha mishahara yao kwa asilimia 23.3, posho za safari na kujikimu pamoja na kulipa malimbikizo ya madeni ya muda mrefu.

Akizungumza leo Mei 30,2022 jijini Dodoma wakati wa hafla fupi ya kumpongeza Rais Samia Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka,amewataka watumishi wa umma kuongeza uwajibikaji katika maeneo yao ya kazi ili kulipa fadhira zilizofanywa na serikali ya awamu ya sita.

RC Mtaka amesema kuwa haitakuwa busara kama juhidi zilizofanywa na serikali chini ya Rais Samia za kupandisha mishara, kuongeza posho za safari pamoja kulipa malimbikizo ya madeni kama zitashindwa kuleta matokeo katika utumishi wa umma.

“Mimi kwa niaba ya watumishi wa mkoa wa Dodoma tunaahidi leo kuwa tutaendelea kumpaushirikiano mweshimiwa Rais kwa kufanya kazi kwa kuzingatia sheria na kanuni na miongozo”amesema Mtaka

Aidha, amewataka watumishi kuacha kujihusisha na mambo yasiyokuwa na tija kama vile ulevi na anasa zisizokuwa na tija kwao.

Kwa wake Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa Tanzania (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma Bw.Sosthenes Kibwengo,amewataka watumishi kutumia kiasi kilichoongezwa kwenye mishara yao kubuni miradi itakayo waongezea kipato na kuacha kujihusisha na vitendo vya rushwa.

“Kumekuwa dhana ya kuwa watumishi wanaomba rushwa kutokana na kipato kidogo lakini kwa hili alilolifanya Rais mbadilike katika utumishi wenu na kubuni miradi badala ya kutumia vibaya fedha za miradi ya maendeleo”amesema Kibwengo

Naye Mwenyekiti wa chama cha walimu mkoa wa Dodoma Swamweli Malecela,amempongeza Rais Samia kwa nyongeza ya mishara ya asilimia 23.3 ambayo wao wamekuwa wakilalamikia kwa muda mrefu.

About the author

Alex Sonna