Featured Kitaifa

MKURUGENZI WA MAWASILIANO IKULU,ZUHURA YUNUS ATETA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI UGANDA NA MAREKANI

Written by mzalendoeditor

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus akizungumza na Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali vya Habari kuhusu ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan nchini Uganda na Marekani kwenye Mkutano uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam 

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula akizungumza na Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali vya Habari kuhusu ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan nchini Uganda na Marekani kwenye Mkutano uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam 

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Profesa Godius Kahyarara akizungumza na Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali vya Habari kuhusu ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan nchini Uganda na Marekani kwenye Mkutano uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam

Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni, na Michezo Mhe. Dkt. Hassan Abbas akizungumza na Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali vya Habari kuhusu ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan nchini Uganda na Marekani kwenye Mkutano uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam

Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Amos Nnko akizungumza na Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali vya Habari kuhusu ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan nchini Uganda na Marekani kwenye Mkutano uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam 

About the author

mzalendoeditor