Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI LEO JIJINI DODOMA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 11, 2022. Kutoka kushoto ni Seif Salim Seif wa Mtambile,  Mohammed Mwinyi wa Chambani, Salum Mohammed Shafi wa Chonga na Salum Pondani  wa Chumbuni. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakili wa Kujitegemea na Mwanasheria Mwandamizi wa Serikali, Elias Nawera kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma,

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 11, 2022. Kutoka kushoto ni Seif Salim Seif wa Mtambile,  Mohammed Mwinyi wa Chambani, Salum Mohammed Shafi wa Chonga,  Salum Pondani  wa Chumbuni, na kulia ni Mbunge wa Viti Maalum,  Asha Abdallah Juma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Exaud Kigae kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Exaud Kigae kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 11, 2022. Kushoto ni Mbunge wa Mafinga Mjini, Cosato Chimi.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Mbunge wa Viti Maalum Agness Marwa kwenye  viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 11, 2022. Katikati ni Mbunge wa Mikumi, Dennis Londo. 

Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

About the author

mzalendoeditor