Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AWASILI JIJINI ARUSHA MARA BAADA YA KUHITIMISHA ZIARA YAKE YA KIKAZI NCHINI MAREKANI

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) wakati akitokea nchini Marekani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais Mhe. Philip Isdor Mpango mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) wakati akitokea nchini Marekani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) wakati akitokea nchini Marekani 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM -Bara Ndugu Abdulrahman Kinana mara baada ya kuwasili uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) wakati akitokea nchini Marekani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akielekea kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro na Arusha waliofika kumpokea wakati akitokea nchini Marekani

 Kikundi cha ngoma za asili cha Kimasai kikitoa burudani mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) 

Viongozi mbalimbali, Wananchi wa Mkoa wa Arusha pamoja na Kilimanjaro wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa Ndege wa KIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akihutubia Wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro pamoja na Arusha mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa KIA wakati akitokea nchini Marekani 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa. Samia Suluhu Hassan akiagana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama mara baada ya kuwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro pamoja na Arusha katika uwanja wa Ndege wa KIA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiagana na Makamu wa Rais Mhe. Philip Isdor Mpango mara baada ya kuhutubia Wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro na Arusha tarehe 28 Aprili, 2022.

About the author

mzalendoeditor