Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

casibom giriş

pusulabet

grandpashabet

pusulabet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

tipobet

redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Featured Kitaifa

UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MSALATO DODOMA KUANZA KUTUMIKA SEPTEMBA 2026

Written by Alex Sonna

Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (katikati), akimsikiliza Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Godfrey Kasekenya (Mb) (kulia) kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato jijini Dodoma, ambao unatarajiwa kukamilika na kuanza kutumika mwezi Septemba mwaka huu, hatua inayotarajiwa kuimarisha usafiri wa anga na kulipa hadhi zaidi jiji la Dodoma ambalo ni Makao Makuu ya nchi. Wengine katika picha ni Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (kushoto) na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Balozi Mhandisi Aisha Amour (wa pili kulia)

Na Benny Mwaipaja, Dodoma

Serikali imesema kuwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato jijini Dodoma unatarajiwa kukamilika na kuanza kutumika ndani ya mwezi Septemba mwaka huu, hatua inayotarajiwa kuimarisha usafiri wa anga na kulipa hadhi zaidi jiji la Dodoma ambalo ni Makao Makuu ya nchi.

Akizungumza wakati alipotembelea na kuona maendeleo ya mradi huo, Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), alisema ujenzi wa uwanja huo umefikia hatua za mwisho ambapo miundombinu mikubwa ikiwemo njia ya kuruka na kutua ndege pamoja na maeneo ya maegesho ya ndege imekamilika kwa kiwango kikubwa.

Mhe. Balozi Omar, alisema mradi huo ulianza kutekelezwa mwaka 2022 kwa ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania, Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) na Mfuko wa Afrika Growing Together Fund (AGTF), ukiwa na lengo la kujenga uwanja wa kisasa utakaoendana na mahitaji ya Mji Mkuu wa nchi.

“Dodoma ni makao makuu ya nchi, hivyo ilikuwa muhimu kuwa na uwanja wa ndege wa kisasa unaoweza kukidhi ongezeko la shughuli za kiuchumi, kiserikali na kijamii,” alisema Mhe. Balozi Omar.

Aliongeza kuwa, Kwa mujibu wa taarifa ya utekelezaji wa mradi huo iliyotolewa na watalaamu, sehemu ya kwanza inayohusisha miundombinu ya uwanja imefikia asilimia 86.73 ya utekelezaji, huku sehemu ya pili inayohusisha majengo muhimu ikiwemo jengo la abiria, mnara wa kuongozea ndege na jengo la zimamoto ikiwa imefikia asilimia 75.1.

“Uwanja huu utakuwa miongoni mwa viwanja vikubwa nchini, ukiwa na njia ya kuruka na kutua ndege yenye urefu wa kilomita 3.6 na upana wa mita 60, pamoja na maegesho makubwa ya ndege yatakayowezesha kuhudumia ndege nyingi kwa wakati mmoja” aliongeza Mhe. Balozi Omar.

Aidha Mhe. Balozi Omar, alisema Kukamilika kwa Uwanja huo kunatarajiwa kuufungua zaidi mji wa Dodoma kwa safari za ndani na kimataifa, huku ukiongeza mvuto wa uwekezaji, kuimarisha nafasi ya Tanzania katika sekta ya usafiri wa anga katika ukanda wa Afrika Mashariki, kwa kuwa jengo la abiria litakuwa na uwezo wa kuhudumia abiria milioni 1.5 kwa mwaka, jambo linalotarajiwa kuongeza uwezo wa Dodoma kupokea wageni wa ndani na nje ya nchi pamoja na kuchochea ukuaji wa uchumi.

Mradi huo pia unahusisha ujenzi wa mnara wa kisasa wa kuongozea ndege wenye urefu wa mita 56.2, jengo la zimamoto la kiwango cha kimataifa, majengo ya kuzalisha umeme na jengo la hali ya hewa lenye vifaa vya kisasa vya usimamizi wa usafiri wa anga.

Kwa upande wake Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Godfrey Kasekenya (Mb) alisema kuwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato ni miongoni mwa miradi muhimu ya kimkakati na ya kielelezo inayotekelezwa nchini chini ya uongozi wa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Alisema mradi huo umebuniwa kwa mtazamo wa muda mrefu, ukiwa na uwezo wa kupanuliwa hatua kwa hatua kulingana na ongezeko la mahitaji ya usafiri wa anga nchini.

“Uwanja huu umejengwa kwa viwango vya kisasa vya kimataifa na unatarajiwa kuwa miongoni mwa viwanja vya ndege vya kisasa zaidi nchini mara utakapoanza kutumika” alisema Mhe. Kasekenya

Alisisitiza kuwa Serikali imejipanga kuhakikisha kazi zilizobaki zinakamilika kwa wakati ili ahadi ya kuanza kwa shughuli za uwanja huo mwezi Septemba itimie, huku akibainisha kuwa mradi huo ni sehemu ya jitihada za kuimarisha miundombinu ya usafiri na kukuza uchumi wa Taifa kupitia uwekezaji mkubwa wa kimkakati.

Katika Ziara hiyo Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar, aliambatana na Naibu Mawaziri wake, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), Mhe. Laurent Luswetula, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha ambaye pia ni Mlipaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Nsubili Joshua, Kaimu Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha ambaye pia ni Kamishna wa Idara ya Fedha za Nje, Bw. Rished Bade, Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Balozi Mhandisi Aisha Amour pamoja na wataalam mbalimbali kutoka Wizara ya Fedha, Wizara ya Ujenzi wakiwemo Wakala wa Barabara nchini (Tanroads).


Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (katikati), akimsikiliza Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Godfrey Kasekenya (Mb) (kulia) kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato jijini Dodoma, ambao unatarajiwa kukamilika na kuanza kutumika mwezi Septemba mwaka huu, hatua inayotarajiwa kuimarisha usafiri wa anga na kulipa hadhi zaidi jiji la Dodoma ambalo ni Makao Makuu ya nchi. Wengine katika picha ni Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (kushoto) na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Balozi Mhandisi Aisha Amour (wa pili kulia)

Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (wanne kushoto), Naibu Mawaziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb) (watatu kushoto), na Mhe. Laurent Luswetula (Mb) (wa tatu kulia), Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Godfrey Kasekenya (Mb) (wanne kulia), Katibu Mkuu Wizara ya Fedha ambaye pia ni Mlipaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (wa pili kushoto), Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Balozi Mhandisi Aisha Amour (wa pili kulia), Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Nsubili Joshua (kushoto) na Kaimu Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha ambaye pia ni Kamishna wa Idara ya Fedha za Nje, Bw. Rished Bade (kulia), wakiwa katika picha ya pamoja baada ya ziara ya kukagua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato jijini Dodoma, ambao unatarajiwa kukamilika na kuanza kutumika mwezi Septemba mwaka huu, hatua inayotarajiwa kuimarisha usafiri wa anga na kulipa hadhi zaidi jiji la Dodoma ambalo ni Makao Makuu ya nchi.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dodoma)

About the author

Alex Sonna