Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI ATETA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI MALAWI MHE POLEPOLE IKULU ZANZIBAR

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Tanzania Nchini Malawi Mhe.Humphrey.H. Polepole alikpofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Malawi Mhe.Humphrey.H.Polepole (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.28-4-2022.(Picha na Ikulu)  

About the author

mzalendoeditor