Featured Kitaifa

MTU HUYU KANINUSURU KUKATWA MGUU WANGU

Written by mzalendoeditor

Jina langu ni Kojoi, mapema mwaka jana mara ya uchunguzi Hospitalini niligundulika kuwa nina ugonjwa wa Kisikukari, niliogopa sana maana ni ugonjwa ambao nilikuwa nasikikia unatumia fedha nyingi kuutibu. 

Pia ni ugonjwa ambao umeua watu wengi sana duniani na unazidi kufanya hivyo kutokana na mtindo wa maisha ya kisasa uliotapakaa kwa wakati huu ulimwenguni kote. 

Kikubwa baada ya vipimo nilipewa ushauri wa namna ambavyo anaweza kuzingatia lishe yangu ili nisiweze kuongeza tena sukari nyingi katika mwili, kikubwa zaidi nilishauriwa kuzingatia mazoezi wakati wa asubuhi na jioni. 

Niliweza kupatiwa dawa chache za kumeza ili kuweza kupunguza kiwango cha sukari mwilini, nilirejea nyumbani na kuieleza familia yangu. Baadhi ya watu walidai kuwa ugonjwa wa Kisukari ni vigumu kuutibu na kuumaliza kwa dawa za Hospitali, walisema wengi baadaye hukimbilia kwenye tiba ya mitishamba.

Niliendelea na maisha yangu ya kawaida na kuzingatia yale ambayo nilishauriwa, hata hivyo niliona kuna ugumu sana maana nilibadili sana mtindo wangu wa ulaji chakula ambao nilikuwa nimeuzoea tangu nikiwa mtoto. 

Baada ya kitambo kirefu niliumwa na kupelekwa Hospitali, na hapo ndipo vipimo vilisema sukari imeenea sana mwilini mwangu na hivyo ili kunusuru maisha yangu natakiwa kukatwa mguu. Nilijihisi kuishiwa nguvu kwani jambo ambalo hata siku moja sikuwahi kulifikiria katika maisha yangu.

Sijawahi kuwaza kuishi maisha yangu bila kuwa na mguu mmoja. Je, vipi  kuhusu shughuli zangu za uzalishaji mali?, iwapo zitadorora nani ataitunza familia yangu?.

Nilirejea nyumbani na kuanza kufanya utafiti mtandaoni iwapo kuna watu wamewahi kupona ugonjwa huu kwa kutumia dawa za mitishamba. Kweli nikabaini hilo lipo haswa niliposoma kwa kina kwenye tovuti ya www.kiwangadoctors.com ambayo inaelezea tiba anazotoa Dr. Kiwanga. 

Hatimaye nilishawishika kumpigia kwa namba yake hii +254 769404965 na kuzungumza naye, alipendekeza niweze kufika ofisini kwake. Baada ya siku kama mbili niliweza kuonana naye, alinipatiwa dawa zake na kuanza kuzitumia, naweza kusema ilikuwa ni kama ndoto maana mara moja afya yangu ilianza kuimarika.

Kupita kitambo kidogo nilirejea Hospitalini kwa ajili ya vipimo, siwezi kuisahau kauli ya Daktari aliposema sukari imepungua mwili mwangu sana hivyo kuondoa uwezekano wa kukutwa mguu. Nilirejea nyumbani na kuendelewa na dawa zile nilizopatiwa na Dr. Kiwanga hadi nikaja kupona kabisa.

Ukiachana na kisukari, Dr. Kiwanga anatibu magonjwa kama presha, kifafa, kisonono, kaswendwe, upungufu wa nguvu za kiume na mengineo, watembelee leo upate suluhu kwa matatizo yanayo kutatiza. Kwa maelezo  zaidi tembelea tovuti yake; www.kiwangadoctors.com  pia waweza kumpigia simu kwa namba +254 769404965 au tuma barua pepe kupitia kiwangadoctors@gmail.com 

About the author

mzalendoeditor