Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

Grandpashabet Güncel Giriş

jojobet

holiganbet

jojobet

betsat

sahabet

jojobet

grandpashabet

ultrabet giriş

lunabet

avrupabet

setrabet

jojobet giriş

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

mavibet

kavbet

piabellacasino giriş

pashagaming

casinoroyal

teosbet

piabellacasino

norabahis

artemisbet

piabellacasino

casinoroyal

almanbahis

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

mariobet

jojobet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

meritking giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark giriş

bets10

dinamobet giriş

casibom

vaycasino

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

vaycasino

ultrabet

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

betixir

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu veren siteler

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

casibom

royalbet

casibom

kafacasino

betface

pashagaming

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betpark

holiganbet

vdcasino

jojobet

casibom

maxwin

Gorabet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

betwoon

giftcardmall/mygift

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU: RCs, DCs NENDENI MKAGUE MASOKO, MADUKA KUPATA BEI HALISI ZA BIDHAA

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  kwa njia  ya video katika Kazi na Wakuu wa Mikoa yote Tanzania Bara  kuhusu Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 akiwa ofisini kwake, Mlimwa jijini Dodoma, Aprili 22, 2022. Kikao hicho pia kilihudhuriwa na baadhi ya Mawaziri, Makatibu Wakuu, Makamisa wa Sensa na viongozi wakuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama  moja ya vishikwambi  vitakavyotumika katika Sensa ya Watu na Makazi  ya Mwaka 2022 baada ya kukabidhiwa kishikwambi hicho na Kamişa wa Sensa, Anne Makinda  (kulia) wakatiu alipozungumza  kwa njia  ya video katika Kikao Kazi na Wakuu wa Mikoa yote Tanzania Bara  kuhusu Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, akiwa ofisini kwake, Mlimwa jijini Dodoma, Aprili 22, 2022. Kikao hicho pia kilihudhuriwa na baadhi ya Mawaziri, Makatibu Wakuu, Makamisa wa Sensa na viongozi wakuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

…………………………………………..

*Awataka pia wahamasishe wananchi kuhusu Sensa ya Makazi na Watu

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya wafanye ziara kwenye masoko na maduka ili kupata hali halisi ya bei za bidhaa na wachukue hatua kudhibiti upandaji holela wa bei hizo. 

Waziri Mkuu ametoa maagizo hayo leo (Ijumaa, Aprili 22, 2022) wakati akizungumza na  viongozi wa mikoa na wilaya kuhusu maendeleo ya maandalizi ya Sensa ya Watu na Makazi kwenye kikao kazi alichokiendesha kwa njia ya mitandao (video conference) kutokea ofisini kwake Mlimwa, jijini Dodoma.

“Tumepata malalamiko kutoka kwa wananchi kwamba bidhaa nyingi zimepanda bei, ninyi ni Wenyeviti wa Kamati za Bei na Kamati za Kodi kwenye mikoa na wilaya zenu. Upandaji wa bei sasa umekuwa holela. Ni jukumu lenu kufanya ufuatiliaji wa bei za mazo katika masoko yenu.”

Waziri Mkuu amesema ziko bidhaa ambazo zinazalishwa nchini kama vile nondo au saruji ambazo hazipaswi kupanda bei hasa baada ya kutolewa tamko na Waziri wa Fedha na Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara kwamba wameshaongea na wenye viwanda na wakakubaliana kuwa bidhaa zote za ndani zinapata nafuu ya kodi.

“Sasa iweje hali iendelee kuwa vilevile?”, amehoji na kuongeza: “Vyakula vinavyozalishwa nchini kama mchele, Shinyanga mchele mwingi, Tabora mchele mwingi, Mbeya nako mchele mwingi kuna sababu gani ya kupadisha mchele wakati unazalishwa nchini?”

“Kama ni mahindi au mihogo inalimwa huko kwenu, umbali wa mazao yanakolimwa mnaujua, iweje bei zipande? Nenda mpite kwenye masoko na kwenye maduka mpate bei  za kila siku za maeneo yenu. Kukaa kimya na masoko yako kwenu, na bidhaa ziko kwenu na walaji wako kwenu halafu hamchukui hatua, tutakuwa hatufanyi vizuri.”

“Ninawaagiza, fanyeni ziara kwenye masoko yenu, fanyeni tafiti na mtathmini ni kwa nini bei zinapanda. Mchicha unapandaje bei, ni kwa sababu ya nini? Zungumzeni na tuone mkianza kudhibiti hiyo hali. Na Kama kuna maeneo bei inapanda kiholela, hakikisheni bei inashuka iende kwenye bei halisi ili tuwasaidie wananchi.”

Katika hatua nyingine, Waziri Mkuu amewataka viongozi hao waongeze hamasa kwa wananchi ili waweze kushiriki kwa wingi kwenye Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika Agosti 23, mwaka huu.

“Hamasa ni muhimu kwa wananchi wa makundi yote. Tutumie wadau mbalimbali kwenye maeneo yetu kama vile Wabunge, madiwani, viongozi wa masoko, viongozi wa vilabu vya michezo na viongozi wa kijamii ili watusaide kuhamasisha wananchi.”

Amesisitiza kuwa ubunifu wa jumla wa namna ya kukamilisha suala hilo unahitajika zaidi.

Mapema, akimkaribisha Waziri Mkuu kuzungumza na viongozi hao, Waziri wa Nchi (OWM-SBU), Bw, George Simbachawene alisema asilimia 85 ya wananchi wamejengewa uelewa kuhusu anwani za makazi ambapo anwani 9,490,959 zimeainishwa na kuingizwa kwenye mfumo wa anwani za makazi (National Physical Addressing – NaPA).

Amesema jumla ya majengo 810,919 yameshahesabiwa nchini, nguzo 70,369 zimewekwa na vibao vya namba 31,239 vimebandikwa.

Naye, Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dkt. Albina Chuwa alisema kazi ya kutenga maeneo ya kijiografia ya kuhesabia watu kwa Tanzania Bara na Zanzibar imekamilika kwa asilimia 100 ambapo vitongoji 64,318 na maeneo 4,313 kwenye shehia zote 388 yameshatengwa.

Alitumia fursa hiyo kuwaomba Wakuu wa Mikoa na Wilaya wasimamie Kamati za Sensa za Kata na Shehia ili zifanye kazi ya kuelimisha wananchi na kuondoa shaka iliyopo.

Wakuu wa mikoa ya Arusha, Ruvuma, Mwanza, Mtwara, Tanga, Kilimanjaro, Dar es Salaam na Njombe walitoa maoni yao na kuelezea hatua zilizofikiwa kwenye maeneo yao.

About the author

Alex Sonna