Featured Photos

MATUKIO KATIKA PICHA:RAIS SAMIA AKIWASILI JIJINI WASHINGTON MAREKANI

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi, Watumishi  wa Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania pamoja na Baadhi ya Wawakilishi kutoka nchi za SADC  waliofika kumpokea alipowasili Jijini Washington Nchini Marekani kwa ajili ya kuanza ziara ya Kikazi leo tarehe 13 April 2022.

About the author

mzalendoeditor