Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI ATETA NA WAZEE WA BARAZA LA WAZEE WA CCM PEMBA

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi Pemba Bw.Mohammed Abass Mselem, wakati wa mkutano huo wa Wazee uliofanyika katika ukumbi wa jengo la ZSSF Tibirinzi Chakechake Pemba 

KATIBU wa Baraza la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi Pemba Bw.Abdalla Yussuf Ali akisoma na kuwasilisha taarifa ya Wazee wa Baraza la CCM, wakati wa mkutano wao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa ZSSF Tibirinzi Chakechake Pemba 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wazee wa Baraza la Wazee wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Pemba, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa jengo la ZSSF Tibirinzi Chakechake Pemba.(Picha na Ikulu) 

About the author

mzalendoeditor