Manchester City imeanza vyema kampeni ya kutafuta ubingwa baada ya kuichapa bao 1-0 ya Atletico Madrid katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Etihad Jijini Manchester.

Shujaa wa Man City ni kiungo mshambuliaji  Kevin De Bruyne dakika ya 70 aliifungia bao muhimu Manchester City.

Previous articleNAIBU WAZIRI RIDHIWANI AWAONYA WENYEVITI MABARAZA YA ARDHI
Next articleLIVERPOOL YAIZAMISHA BENFICA UGENINI LIGI YA MABINGWA ULAYA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here