Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

avrupabet

vipslot

betcool

betlivo

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

kareasbet

hazbet

betra

meritking giriş

marsbahis

meritking

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

betra

gobahis

casival

casival

betcool

avrupabet

celtabet

jojobet

Hacklink panel

norabahis

kingroyal

Google

holiganbet

marsbahis

luxbet

hepbet

millibahis giriş

gobahis

vipslot

betface

elitbahis giriş

betcool

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

betlike

piabellacasino

timebet

betpark giriş

holiganbet

betpark

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betewin

jojobet

vipslot

betnis

betmarino giriş

aresbet

aresbet

avrupabet giriş

betface

luxbet

betmarino

casival giriş

betlivo giriş

realbahis

gallerbahis

gallerbahis

aresbet giriş

parmabet

betnis

elitbahis

marsbahis

betra giriş

celtabet giriş

parmabet giriş

vipslot giriş

hazbet giriş

elitbahis

luxbet giriş

hepbet

lordcasino

parmabet

lordcasino

kareasbet

betcool giriş

realbahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

cratosroyalbet

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

parmabet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

madridbet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet giriş

marsbahis

sweet bonanza

realko

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

betlivo

millibahis

millibahis

celtabet

millibahis

parmabet giriş

mavibet giriş

coinbar

coinbar

mislibet giriş

mavibet

parmabet giriş

parmabet

bahiscasino

mavibet

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

marsbahis

betsat giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

betsat

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

betcio

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

Featured Kitaifa

ASILIMIA NNE YA WATUMIA MITANDAO YA KIJAMII NI WAHANGA WA UKATILI MITANDAONI- DKT. CHAULA

Written by Alex Sonna

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Zainab Chaula, akizungumza na kikosikazi kinachoandaa kitini kwa ajili yakuwalimisha watoto kukabiliana na ukatili mitandaoni.

Mbunge wa Viti Maalum, Neema Lugangira, akichangia mada wakati wa kikaokazi cha kudhibiti ukatili wa mitandaoni jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Mtoto kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Sebastian Kitiku, akifafanua jambo wakati wa kikaokazi cha kudhibiti ukatili wa mitandaoni jijini Dodoma.

 Baadhi ya wadau wa Kikosikazi cha kudhibiti na kupambana na ukatili wanapitia na kuboresha mwongozo wa kupambana na ukatili wa mitandaoni, wakimsikiliza Katibu Mkuu ( Hayupo pichani) wakati wa kikao hicho. ( Picha zote na na Kitengo cha Mawasiliono Serikalini WMJJWM)

………………………………………………………….

Na WMJJWM

Katibu Mkuu Wizara ya  Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Zainab Chaula, amesema asilimia nne kati ya watumiaji wa mitandao ya kijamii wanaokadiriwa kufikia Milioni  54  kwa sasa wanakabiliwa na ukatili mitandaoni.

Akizungumza leo Machi 31, 2022 jijini Dodoma kwenye kikao kazi kinacho washirikisha kikosikazi cha Taifa, kutoka Asasi za kiraia pamoja na Serikali, Dkt. Chaula amesema pamoja na ukuwaji wa teknolojia bado kunatakiwa kuongeza mbinu na mikakati katika kuchukua hatua za kukabiliana na ukatili mitandaoni kwakuwa matumizi ya teknolojia yamekuwa na athari za ukatili, kwa watumiaji wasiokuwa na uwelewa.

“Sisi humu ndani unaweza kukuta wote ni wahanga wa ukatili wa mitandaoni, leo tunaandaa vitini kwaajili ya watoto lakini tukumbuke ukatili huo sio kwa watoto tu bali hata watu wazima” amesema Dkt. Chaula.

Dkt. Chaula amekielekeza kikosi kazi hicho kuwajumuisha viongozi wa dini, wanahabari na makundi mengine yenye ushawishi ndani ya jamii katika kupiga vita ukatili mitandaoni kwakuwa, watu viongozi wa dini wao kwa nafasi zao kwenye mahubiri yao inakuwa ni sehemu ya mafundisho, lakini wanahabari ninyi ni kundi muhimu sana katika kutengeneza vipindi vya kutoa elimu

 Katika hatua nyingine Dkt. Chaula, ametoa siku saba kwa kikosi kazi hicho cha Taifa, kukamilisha vitini hivyo na kuvipeleka kwa wadau kwa ajili yakupokea maoni ya namna gani wafanye ili waweze kufanikiwa.

Akichangia kwenye kikao hicho, Mbunge wa Viti Maalum, na mdau wa kupambana na Ukatili, Neema Lugangira, amesema pamoja na kuwa na idadi  ya wabunge wanawake zaidi ya 140 lakini idadi ya wanaotumia wa mitandao ni ndogo,  hata kama wanafika kumi na tano lakini ukiwauliza kulikoni wanasema wanahofia ukatili wa mitandaoni.

Awali akielezea malengo ya kikao hicho, Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Mtoto kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Sebastiani Kitiku amesema wametumia siku mbili kwenye kikaokazi hicho ambapo nyaraka hizo watakazo toka nazo zitawasaidia watoto kujilinda na ukatili wa mitandaoni.

“Ndugu wajumbe tumesikia maelekezo ya Katibu Mkuu, kuwa miongozo hii tuwafikishie wadau wakiwepo viongozi wa dini lakini kama kikosi kazi tumeenda mbali zaidi kwamba miongozo hii tutaifikisha hadi mashuleni kwa walimu kwani tunaimani wao hukaa na watoto muda mwingi hivyo tutatumia jukwaa hilo na majukwaa mengine ili elimu hii isambae zaidi”. alisema Kitiku.

Nao wajumbe wa Baraza la watoto ambao nisehemu ya kikosikazi hicho wamesema, wao kama  watoto, kwanza wanaona fahari kwa Serikali yao kuwajali kwa kuwaandalia mwongozo, lakini wanataka Mwongozo huo, lazima kwanza ueleweke pia kwa wazazi.

“Utakuta mzazi amechukua simu yake pengine mpo kweye Sherehe anakupiga picha na kusambaza kwa rafiki zake, ukimwambia Baba au Mama mimi sitaki anakwambia kwani mimi si ndio ninaye kujua, hivi kwakweli sio vizuri tunaomba watusikilize kwa maana na sisi tunahaki zetu za msingi. Alisema Cayleen Nelson, Mwakilishi wa Baraza la Watoto Dodoma.

Matokeo ya kikao hicho yanatokana na tafiti iliyofanywa baina ya Serikali na wadau UNICEF, kuona maeneo ya kipaumbele yakuanzia kwenye kukabiliana na ukatili mitandaoni, ambapo imebainika sio watoto peke yao ambao ni wahanga bali pia watu wazima, hivyo kukamilika kwa kikao hicho kitatoka na vitini ambayo vitakuwa ni miongozo kwa makundi hayo.

About the author

Alex Sonna