marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

pusulabet giriş

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

matbet

marsbahis

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

grandpashabet

pusulabet giriş

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

cratosroyalbet

pokerklas

marsbahis

perabet giriş

piabet

betoffice

restbet

imajbet

safirbet

goldenbahis

marsbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

gobahis, gobahis giriş

jojobet giriş

restbet

jojobet giriş

restbet

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet giriş

betebet

gonebet, gonebet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

setrabet

starzbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

kingroyal giriş

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

kıbrıs escort

trendbet

jojobet güncel giriş

ilbet

ilbet giriş

xslot

xslot giriş

meritking giriş

bets10 giriş

bets10 giriş

Fixbet

jojobet

grandpashabet

casinoroyal

İkimisli

casinofast

holiganbet

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10 giriş

casibom

imajbet

imajbet giriş

imajbet

imajbet giriş

perabet

perabet giriş

mislibet

mislibet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

bets10

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

palacebet

vdcasino

bets10

perabet

perabet

perabet giriş

imajbet

imajbet giriş

interbahis

kralbet giriş

belugabahis

สล็อตเว็บตรง

meritking

ultrabet

jojobet

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

Holiganbet

ultrabet

mislibet

interbahis

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

Featured Kitaifa

OFISI YA MAKAMU WA RAIS YASAINI MKATABA

Written by Alex Sonna

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga (wa pili kushoto) na Mkurugenzi wa Kampuni ya Dezo Construction Co. Ltd Bw. Premji Pindoria wakisaini mkataba wa ujenzi na ukarabati wa kingo za fukwe katika maeneo ya mwambao wa Mikindani (Mtwara) hafla iliyofanyika leo Machi 31, 2022 Dustan Shimbo na Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Bw. Abdallah Hassan Mitawi.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga (wa pili kushoto) na Mkurugenzi wa Kampuni ya Dezo Construction Co. Ltd Bw. Premji Pindoria wakionesha nyaraka za mkataba za ujenzi na ukarabati wa kingo za fukwe katika maeneo ya mwambao wa Mikindani (Mtwara) hafla iliyofanyika leo Machi 31, 2022 jijini Dodoma Dustan Shimbo na Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Bw. Abdallah Hassan Mitawi

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais na wataalamu kutoka Kampuni ya Dezo Construction Co. Ltd Bw. Premji Pindoria mara baada ya kutiliana saini kwa mkataba wa ujenzi na ukarabati wa kingo za fukwe katika maeneo ya mwambao wa Mikindani (Mtwara) hafla iliyofanyika leo Machi 31, 2022 jijini Dodoma. 

(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)

…………………………………………………..

Ofisi ya Makamu wa Rais na Kampuni ya Ujenzi ya DEZO Civil Contractors Co. Ltd. zimesaini mkataba wa ujenzi na ukarabati wa kingo za fukwe katika maeneo ya mwambao wa Mikindani (Mtwara) wenye urefu wa mita 1750 na Sipwese (Pemba) mita 500 wenye thamani ya sh. bilioni 4.4 ambao utagharamiwa na Serikali ya Tanzania.

Akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini wa ujenzi huo Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga alionesha imani kuwa mradi huo utamalizika kwa wakati kwa mujibu wa mkataba.

Alimtaka mkandarasi kuzingatia viwango vya ubora wakati wa ujenzi wa mradi huo ili uweze kuleta manufaa katika kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi hususan katika mmomonyoko wa fukwe nchini.

“Tumewaamini mtafanya kazi vizuri na msituangushe, tuna imani mtazingatia ‘value for money’ thamani ya fedha mlizotengewa katika kujenga mradi huu hivyo nawatakia kila la heri mkamilishe kwa wakati,” alisema Bi. Maganga.

Aliongeza kuwa maeneo mengi yameharibiwa kutokana na maji ya bahari kuingia nchi kavu na hivyo Ofisi ya Makamu wa Rais ambayo inasimamia mazingira inatekeleza miradi ya kukabiliana na changamoto hizi katika ameneo ya pwani.

Katibu Mkuu huyo alisema kuwa mbali ya mradi huo pia kuna miradi mingine mikubwa ambayo tayari imejengwa ikiwemo ukuta kwenye Barabara ya Barack Obama jijini Dar es Salaam ambao unasaidia kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Kampuni ya Dezo Civil Contractors Co. Ltd, Bw. Premji Pindoria aliishukuru Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kuiamini kampuni hiyo na kuahidi kumaliza mradi huo kwa wakati.

Alisema watatumia uzoefu na utaaamu wao kama walionesha katika ujenzi wa wa kuta za Barack Obama, Chuo cha Mwalimu Nyerere Kigamboni (Dar es Salaam), Pangani mkoani Tanga na visiwa Panza (Pemba).

Katika kipindi cha mwaka 2021/22, Ofisi imefanya upembuzi yakinifu na usanifu wa ujenzi wa kuta katika fukwe za bahari katika maeneo hayo ili kuzuia mmomonyoko wa fukwe hizo unaosababishwa na ongezeko la kina cha bahari kutokana na athari za mabadiliko ya tabianchi

Aidha, mmomonyoko huo umekuwa ukisababisha uharibifu wa miundombinu ya barabara, mashamba na makazi ya watu hivyo mradi huo unatarajiwa kuwa suluhu. Mradi huu unatarajiwa kukamilika ndani ya kipindi cha miezi 18.

About the author

Alex Sonna