Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

vdcasino

Featured Kitaifa

WAZIRI MAKAMBA,MKURUGENZI MKAZI WA BENKI YA DUNIA WAJADILI MAENDELEO YA NISHATI

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nishati January Makamba, (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa upande wa Tanzania, Mara Warwick, (hawapo pichani) wakati wa kikao cha kujadili maendeleo ya miradi ya sekta ya Nishati, kilichofanyika mkoani Dar Es Salaam,

Waziri wa Nishati January Makamba, (katikati), Kaimu Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati Kheri Mahimbali (wa tatu kulia) na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa upande wa Tanzania, Mara Warwick ,(wa pili kushoto)  wakati wakizungumza wakati wa kikao cha kujadili maendeleo ya miradi ya sekta ya Nishati, kilichofanyika mkoani Dar Es Salaam,

Waziri wa Nishati January Makamba, (katikati) akizungumza na ujumbe kutoka Benki ya Dunia, Viongozi waandamizi kutoka Wizara ya Nishati, Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wakati wa kikao cha kujadili maendeleo ya miradi ya sekta ya Nishati nchini, kilichofanyika mkoani Dar Es Salaam

Kaimu Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati Kheri Mahimbali (wa pili kushoto) na Kamishna Msaidizi Maendeleo ya Umeme Wizara ya Nishati, Mhandisi Styden Rwebangira (kushoto) wakiwa katika kikao cha kujadili maendeleo ya miradi ya sekta ya Nishati, kilichofanyika mkoani Dar Es Salaam

Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Seif Said,( kulia) na Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi wa Wakala wa Nishati Vijijini( REA), Mhandisi Jones Olotu, wakiwa katika kikao cha kujadili maendeleo ya miradi ya sekta ya Nishati, kilichofanyika mkoani Dar Es Salaam,

……………………………………………

Na Zuena Msuya DSM,

Waziri wa Nishati January Makamba amekuta na ujumbe wa benki ya dunia ukiongozwa na Mkurugenzi Mkazi wa benki hiyo kwa upande wa Tanzania,  Mara Warwick,  na kuzungumzia mambo mbalimbali kubwa likiwa ni uendelezaji wa Sekta Nishati ikiwemo masuala ya umeme na gesi.

Katika mazungumzo hayo, Makamba ameishukuru benki hiyo kwa ushirikiano wake na Serikali ya Tanzania pia kuwezesha utekelezaji wa miradi ya Maendeleo nchini ukiwemo ule wa kuinganisha Tanzania na Zambia (TAZA).

Mazungumzo hayo yamefanyika katika ofisi za wizara hiyo zilizopo mkoani Dar Es Salaam, Machi 28, 2022, pamoja na mambo mengine mazungumzo hayo yamelenga zaidi kuimarisha ushirikiano kati ya benki hiyo na Serikali ya Tanzania  katika kuendeleza miradi mbalimbali ya maendeleo.

“Serikali ya Tanzania inaishukuru Benki ya Dunia kwa kuwezesha miradi ya nishati hapa nchini, tunawaahidi tutaendelea kushirikiana na katika nyanja mbalimbali kwa kuwa tumeona matokeo chanja katika miradi ambapo benki hiyo imeiunga mkono hasa katika Sekta ya Nishati,” alisema Makamba.

Mkutano huo pia umehudhuriwa na Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Kheri Mahimbali, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Seif Said na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Anitha Ishengoma pamoja na Viongozi wengine waandamizi kutoka Wizarani, REA na TANESCO.

Katika kikao hicho wamejadili mradi wa Usambazaji wa umeme vijiji, njia kuu za kusafirisha umeme pamoja masuala ya gesi.

Kwa upande wake Mkurugenzi Warwick amemueleza Waziri wa Nishati kuwa wataendelea kushirikiana na serikali ya Tanzania kwa kuinguka mkono sekta ya Nishati, ili kutanua wigo wa ukuaji wa maendeleo ya sekta hiyo.

Pia watawajengea uwezo wataalam wa kada hiyo ili kuweza kuongeza tija na ufanisi katika sekta hiyo.

About the author

Alex Sonna