marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

marsbahis giriş

NervEase

kocaeli escort

izmit escort

escort bayan

matbet

sekabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

bahiscasino

betoffice

marsbahis

perabet giriş

interbahis

grandbahis

betpipo giriş

imajbet

betpipo

grandbahis giriş

marsbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

betparibu, betparibu giriş

zirvebet, zirvebet giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

meritking giriş

meritking

jojobet

holiganbet

meritking güncel giriş

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betine

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

betosfer

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

aaa

Starzbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

kıbrıs escort

casibom giriş

jojobet güncel giriş

ilbet

ilbet giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

bets10 giriş

Milanobet

jojobet

grandpashabet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10 giriş

pokerklas

lordcasino

lordcasino giriş

imajbet

betmarino giriş

perabet

betmarino

belugabahis

belugabahis giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

grandpashabet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

pokerklas

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

cratosroyalbet

vdcasino

bets10

perabet

perabet

perabet giriş

imajbet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

elitbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10 giriş

casibom

holiganbet giriş

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

imajbet

imajbet giriş

jojobet

casibom

casibom

jojobet güncel giriş

casibom

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

vipslot

deneme bonusu 2026

interbahis

agb99

betper

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

sekabet giriş

deneme bonusu

hackhaber

Uncategorized

UMOJA WA MATAIFA WAIPATIA TANZANIA DOLA BILIONI 1.85 KUSAIDIA MAENDELEO NCHIN

Written by Alex Sonna

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango na Mlipaji Mkuu wa Serikali Bw. Emmanuel Tutuba na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa Nchini Bw. Zlatan Milisic, wakisaini hati za makubalino za mwongozo wa ushirikiano baina ya Serikali na Umoja wa Mataifa kwa kipindi cha miaka mitano ijayo kuanzia tarehe 1 Julai 2022 hadi 30 Juni 2027, jijini Dodoma. Anayeshuhudia  ni Kamishna Msaidizi Idara ya Fedha za Nje Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Robert Mtengule.

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango na Mlipaji Mkuu wa Serikali Bw. Emmanuel Tutuba na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa Nchini Bw. Zlatan Milisic, wakionesha hati za makubalino za mwongozo wa ushirikiano baina ya Serikali na Umoja wa Mataifa kwa kipindi cha miaka mitano ijayo kuanzia tarehe 1 Julai 2022 hadi 30 Juni 2027, baada ya kusainiwa jijini Dodoma.

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango na Mlipaji Mkuu wa Serikali Bw. Emmanuel Tutuba na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa Nchini Bw. Zlatan Milisic, wakibadilishana hati za makubalino za mwongozo wa ushirikiano baina ya Serikali na Umoja wa Mataifa kwa kipindi cha miaka mitano ijayo kuanzia tarehe 1 Julai 2022 hadi 30 Juni 2027, baada ya kusainiwa jijini Dodoma.

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango na Mlipaji Mkuu wa Serikali Bw. Emmanuel Tutuba akizungumza wakati wa kikao cha kamati ya usimamizi wa ushirikiano kati ya Serikali na Mashirika ya Umoja wa Mataifa Nchini ambacho kiliidhinisha mwongozo wa ushirikiano baina ya Serikali na Umoja wa Mataifa kwa kipindi cha miaka mitano ijayo kuanzia tarehe 1 Julai 2022 hadi 30 Juni 2027, jijini Dodoma.

Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa Nchini Bw. Zlatan Milisic, akizungumza wakati wa kikao cha kamati ya usimamizi wa ushirikiano kati ya Serikali na Mashirika ya Umoja wa Mataifa Nchini ambacho kiliidhinisha mwongozo wa ushirikiano baina ya Serikali na Umoja wa Mataifa kwa kipindi cha miaka mitano ijayo kuanzia tarehe 1 Julai 2022 hadi 30 Juni 2027, jijini Dodoma.

Baadhi ya wawakilishi  kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa wakifuatilia wasilisho wakati wa kikao cha kamati ya usimamizi wa ushirikiano kati ya Serikali na Mashirika ya Umoja wa Mataifa Nchini ambacho kiliidhinisha mwongozo wa ushirikiano baina ya Serikali na Umoja wa Mataifa kwa kipindi cha miaka mitano ijayo kuanzia tarehe 1 Julai 2022 hadi 30 Juni 2027, jijini Dodoma. Kutoka  kushoto  ni Dk. Leo Zekeng mwakilishi wa UNAIDS, Bw.Mark Schreiner mwakilishi wa UNFPA, Bi. Hodan Addou Mwakilishi wa UN Women na Faith Shayo mwakilishi wa UNESCO.

Baadhi ya Viongozi wa Serikali wakifuatilia wasilisho  wakati wa kikao cha kamati ya usimamizi wa ushirikiano kati ya Serikali na Mashirika ya Umoja wa Mataifa Nchini ambacho kiliidhinisha mwongozo wa ushirikiano baina ya Serikali na Umoja wa Mataifa kwa kipindi cha miaka mitano ijayo kuanzia tarehe 1 Julai 2022 hadi 30 Juni 2027, jijini Dodoma.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha na Mipango, Dodoma.)

……………………………………………

Na. Eva Valerian, WFM – Dodoma

Taasisi ya Umoja wa Mataifa imeipatia Tanzania msaada wa jumla ya dola za Marekani bilioni 1.85 ambazo ni takribani shilingi  trilioni 4.3, kwa ajili ya kutekeleza afua mbalimbali katika maeneo waliyokubaliana yakiwemo sekta ya maji, afya, elimu, kilimo na jinsia na usawa kati ya shughuli za wanawake na wanaume.

Makubaliano ya Msaada huu yametiwa Saini Jijini Dodoma na Katibu Mkuu wa Wizara ya ya Fedha na Mipango na Mlipaji Mkuu wa Serikali Bw. Emmanuel Tutuba, kwa niaba ya Tanzania Bara na Visiwani, na Mwakilishi Mkazi wa Taasisi ya Umoja wa Mataifa Bw. Zlatan Milisic kwa niaba ya shirika hilo.

Bw. Tutuba alisema kuwa kiwango hicho cha fedha kimeainishwa kwenye shughuli mbalimbali lakini kitakuwa ni kiwango cha kuanzia na baadae inawezekana wakati tunaendelea kutekeleza programu mbalimbali, kama patajitokeza wadau watakaoongeza miadi yao, viwango vitakuwa vina badilika na  vitaingizwa kwenye bajeti ya kila mwaka ya Wizara au Halmashauri na Mikoa husika.    

“Utaratibu mpya ambao ni endelevu wa ushirikiano kati ya Taasisi za Umoja wa Mataifa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tumeona msaada huu wa fedha utaweza kutekeleza afua mbalimbali katika maeneo tuliyokubaliana, na kwa kuwa tumefanya majadiliano katika kuandaa programu hii ya miaka mitano, tutaanza kutekeleza tarehe 01 Julai 2022 mpaka tarehe 30 June 2027” Alisema Tutuba.

Aidha Bw. Tutuba alisema katika programu hii maeneo yatakayoguswa yatachangia katika ukuaji wa uchumi, yatapunguza umasikini na kuboresha huduma mbalimbali za ustawi wa jamii. Shughuli nyingine ambazo zinaendana na vipaumbele vya Taifa vya miaka mitano kwa upande wa mpango wa tatu wa miaka mitano ya Tanzania Bara na Visiwani, kulingana na maeneo yaliyobainishwa kwenye dira ya maendeleo ya Zanzibar.

Kwa Upande wake, Mwakilishi Mkazi wa Taasisi ya Umoja wa Mataifa Bw. Zlatan Milisic, alisema kuwa walifanya utafiti kwa zaidi ya mwaka mmoja na nusu na kubaini maeneo watakayoyapa kipaumbele na kutoa msaada kwa Tanzania Bara na Visiwani. Hivyo wameiomba Serikali ya Tanzania kufanya utaratibu wa kuzindua programu hii mpya ya miaka mitano ya ushirikiano.

Hafla hiyo imehudhuriwa na Kamati ya usimamizi wa ushirikiano kati ya Serikali na mashirika ya umoja wa mataifa nchini Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wakiwemo watendaji wa Serikali.

About the author

Alex Sonna