Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akilihutubia Bunge la Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) mbele ya Wajumbe wa Umoja huo katika Mkutano wa 144 wa IPU unaoendelea leo Machi 22, 2022 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia.

Wajumbe wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) wakiwa katika Mkutano wa 144 wa Umoja huo wakisikiliza hotuba mbalimbali za Maspika zikiwasilishwa leo Machi 22, 2022 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Previous articleSNV YAKABIDHI KICHOMEA TAKA ‘INCINERATOR’ NA GUTA ZAHANATI YA KITANGILI MANISPAA YA SHINYANGA
Next articleLAAC YAUSHAURI UOGOZI WA SHULE YA SAJO KUIMARISHA USHIRIKIANO NA WANANCHI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here