Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

SNV YAKABIDHI KICHOMEA TAKA ‘INCINERATOR’ NA GUTA ZAHANATI YA KITANGILI MANISPAA YA SHINYANGA

Written by Alex Sonna

 

Muonekano wa sehemu ya kuchomea taka katika Zahanati ya Kitangili iliyopo kwenye kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga iliyotengenezwa na Shirika la SNV. Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Jomaary Satura ( wa nne kulia aliyevaa miwani) na wadau wa afya na mazingira  wakiangalia Kichomea taka ‘Incinerator’ iliyotolewa na Shirika la SNV kwa ajili ya Zahanati ya Kitangili kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga.
 
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Shirika la Maendeleo la Uholanzi (SNV – Netherlands Development Organization) kupitia Mradi wa Usafi wa Mazingira (WASH SDG) kwa ufadhili wa Serikali ya Uholanzi limekabidhi Kichomea Taka ‘Incinerator’ na Chombo maalumu cha kubebea taka za hospitali (Biomedical Waste Carrier) ‘Guta’ katika Zahanati ya Kitangili iliyopo katika kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga.
 
Akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa hivyo leo Jumatatu Machi 21,2022 kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Jomaary Satura, Meneja Mradi wa Usafi wa Mazingira Mjini wa Shirika la SNV,Bw.Olivier Germain amesema Incinerator ina gharama ya shilingi Milioni 19.3, Guta shilingi Milioni 5.6, gharama za kutengeneza Guta shilingi Milioni 1 hivyo jumla ya fedha zilizotumika ni shilingi Milioni 25.
 
Amesema SNV imeendelea kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) kuboresha hali ya usafi wa Mazingira Shinyanga katika maeneo ya umma, shule na sekta ya afya.
 
“Tunaushukuru Uongozi wa Mkoa wa Shinyanga kwa ushirikiano ambao mmekuwa mkitupatia katika kutekeleza Mradi wetu wa Usafi wa mazingira. Tunaamini katika Incinerator hii itasaidia katika utunzaji wa mazingira katika zahanati ya Kitangili na Guta hili litasaidia katika ubebaji wa taka za hospitali na kuzileta hapa kwenye Incinerator kwa ajili ya kuziteketeza”,amesema Germain.
 
Kwa upande wake Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Mhe. Jomaary Satura amewashukuru SNV kwa msaada huo akibainisha kuwa Kichomea taka hicho kinaiongezea thamani Manispaa ya Shinyanga katika masuala afya na usafi wa mazingira.
 
“SNV wamekuwa wadau wakubwa katika masuala ya afya na mazingira ndani ya Manispaa yetu ya Shinyanga. Hii Tanzania ni kubwa lakini wao wametuchagua sisi Manispaa ya Shinyanga.Kama mna nafasi nyingine tunawaomba muendelee kuleta miradi mingine hapa, karibuni sana muendelee kuwekeza. Tunataka kuona Shinyanga inaendelea kuwa bora”,amesema Satura.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Jomaary Satura akizungumza wakati Shirika la SNV likikabidhi Kichomea Taka ‘Incinerator’ na Chombo maalumu cha kubebea taka za hospitali ‘Guta’ katika Zahanati ya Kitangili iliyopo kwenye kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga leo Jumatatu Machi 21,2022. Kulia ni Mganga Mkuu wa Manispaa ya Shinyanga Dkt. Elisha Ndaki. Wa kwanza kulia ni Mhandisi wa SNV, Hezron Magambo akifuatiwa na Meneja Mradi wa Usafi wa Mazingira Mjini wa Shirika la SNV,Bw.Olivier Germain. Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Jomaary Satura akizungumza wakati Shirika la SNV likikabidhi Kichomea Taka ‘Incinerator’ na Chombo maalumu cha kubebea taka za hospitali ‘Guta’ katika Zahanati ya Kitangili iliyopo kwenye kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga. Wa pili kushoto ni Diwani wa Kata ya Kitangili Mhe. Mariam Nyangaka akifuatiwa na Meneja Mradi wa Usafi wa Mazingira Mjini wa Shirika la SNV,Bw.Olivier Germain. 
Meneja Mradi wa Usafi wa Mazingira Mjini wa Shirika la SNV,Bw. Olivier Germain akizungumza wakati Shirika la SNV likikabidhi Kichomea Taka ‘Incinerator’ na Chombo maalumu cha kubebea taka za hospitali ‘Guta’ katika Zahanati ya Kitangili iliyopo kwenye kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga.
Meneja Mradi wa Usafi wa Mazingira Mjini wa Shirika la SNV,Bw.Olivier Germain akizungumza wakati Shirika la SNV likikabidhi Kichomea Taka ‘Incinerator’ na Chombo maalumu cha kubebea taka za hospitali ‘Guta’ katika Zahanati ya Kitangili iliyopo kwenye kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga.
Meneja Mradi wa Usafi wa Mazingira Mjini wa Shirika la SNV,Bw.Olivier Germain akizungumza wakati Shirika la SNV likikabidhi Kichomea Taka ‘Incinerator’ na Chombo maalumu cha kubebea taka za hospitali ‘Guta’ katika Zahanati ya Kitangili iliyopo kwenye kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga.
Meneja Mradi wa Usafi wa Mazingira Mjini wa Shirika la SNV,Bw. Olivier Germain (wa pili kulia) na Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Jomaary Satura (wa pili kulia) wakikata utepe wakati Shirika la SNV likikabidhi Kichomea Taka ‘Incinerator’ na Chombo maalumu cha kubebea taka za hospitali ‘Guta’ katika Zahanati ya Kitangili iliyopo kwenye kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga. 
Meneja Mradi wa Usafi wa Mazingira Mjini wa Shirika la SNV,Bw. Olivier Germain (wa pili kulia) na Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Jomaary Satura (wa pili kulia) wakikata utepe wakati Shirika la SNV likikabidhi Kichomea Taka ‘Incinerator’ na Chombo maalumu cha kubebea taka za hospitali ‘Guta’ katika Zahanati ya Kitangili iliyopo kwenye kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga. 
Muonekano wa sehemu ya kuchomea taka katika Zahanati ya Kitangili iliyopo kwenye kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga iliyotengenezwa na Shirika la SNV. 
Mhandisi wa SNV, Herieth Manyika akielezea namna taka za hospitali zinavyoteketezwa kupitia Incinerator hiyo katika zahanati ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga
Mhandisi wa SNV, Herieth Manyika akielezea namna taka za hospitali zinavyoteketezwa kupitia Incinerator hiyo katika zahanati ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Jomaary Satura na wadau wa afya na mazingira wakiangalia sehemu ya kuhifadhia taka za hospitali kabla ya kuziweka kwenye Kichomea Taka ‘Incinerator’ iliyotolewa na Shirika la SNV.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Jomaary Satura na wadau wa afya na mazingira wakiangalia sehemu ya Chombo maalumu cha kubebea taka za hospitali ‘Guta’ (Biomedical Waste Carrier) kilichotolewa na Shirika la SNV kwa ajili ya Zahanati ya Kitangili iliyopo katika kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Jomaary Satura na wadau wa afya na mazingira wakiangalia sehemu ya Chombo maalumu cha kubebea taka za hospitali ‘Guta’ (Biomedical Waste Carrier) kilichotolewa na Shirika la SNV kwa ajili ya Zahanati ya Kitangili iliyopo katika kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga.
Muonekano wa Chombo maalumu cha kubebea taka za hospitali ‘Guta’ (Biomedical Waste Carrier) kilichotolewa na Shirika la SNV kwa ajili ya Zahanati ya Kitangili iliyopo katika kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga.
Muonekano wa Chombo maalumu cha kubebea taka za hospitali ‘Guta’ (Biomedical Waste Carrier) kilichotolewa na Shirika la SNV kwa ajili ya Zahanati ya Kitangili iliyopo katika kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga.
Wadau wa afya na mazingira wakiongozwa na Meneja Mradi wa Usafi wa Mazingira Mjini wa Shirika la SNV, Bw. Olivier Germain na Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Jomaary Satura wakipiga picha ya kumbukumbu baada ya Shirika la SNV kukabidhi Kichomea Taka ‘Incinerator’ na Chombo maalumu cha kubebea taka za hospitali ‘Guta’ katika Zahanati ya Kitangili iliyopo kwenye kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga. 
 
Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
 

About the author

Alex Sonna