Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akisalimiana na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Itezi wakati alipowasili Shuleni hapo leo Mkoani Mbeya, Februari 28, 2022, kulia ni Diwani wa kata ya Itezi, Mhe. Sambee Shitambala

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na wananchi mbalimbali na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Itezi (hawapo kwenye picha) wakati alipoitembelea Shule hiyo leo Mkoani Mbeya, Februari 28, 2022, kushoto ni Mbunge wa Mchiga, Mhe. Salma Kikwete na Mstahiki Meya wa Jiji la Mbeya, Mhe. Dormohamed Rahmat

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na wananchi na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Itezi wakati alipoitembelea Shule hiyo leo Mkoani Mbeya,

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Itezi wakimsikiliza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza wakati alipoitembelea Shule hiyo leo Mkoani Mbeya

Wananchi Mbalimbali wakimsikiliza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza katika viwanja vya Shule ya Sekondari Itezi wakati alipoitembelea Shule hiyo leo Mkoani Mbeya,

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akitoa mchango wa mifuko 200 ya saruji kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Itezi, Ndg. Betseba Nsemwa tukio lililofanyika leo Mkoani Mbeya, Februari 28, 2022, Kushoto ni Mstahiki Meya wa Jiji la Mbeya, Mhe. Dormohamed Rahmat na kulia ni Diwani wa kata ya Itezi, Mhe. Sambee Shitambala wengine ni Vijana kutoka Taasisi ya Tulia Trust

 (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Previous articleBILIONI 27 ZATOLEWA KUBORESHA BARABARA ZA RUKWA- RC MKIRIKITI
Next articleNAIBU WAZIRI WA AFYA DKT.MOLLE AKABIDHI VIFAATIBA HOSPITALI YA WILAYA YA MAKETE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here