RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakito wa pole kwa Watoto wa Marehemu Kagere Thomas Charles Mukakaro, alipofika Kijijini kwa Marehemu kijiji cha Nyasurura Mkoani Mara kujumuika na familia katika maziko hayo yaliofanyika 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Kagere Thomas Charles Mukakaro aliyekuwa Afisa Ofisi ya Rais  maziko hayo yaliofanyika Kijiji kwao Nyasusura Mkoa wa Mara

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka mchanga katika kaburi la marehemu Kagere Thomas Charles Mukakaro, baada kuwekwa mwili wa marehemu, maziko yaliofanyi leo kijijini kwao Nyasusura Mkoa wa Mara.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiweka shada la maua katika kaburi la Marehemu Kagere Thomas Charles Mukakaro baada ya kuwekwa kwa mwili wa mareheme katika kaburi maziko yaliofanyika Kijijini kwao Nyasusura Mkoani Mara (Picha na Ikulu)

Previous articleRAIS DK.MWINYI ATETA NA WAFANYAKAZI WA OFISI YA SEMA NA RAIS (SNR) IKULU ZANZIBAR
Next articleMMILIKI WA CHELSEA ABRAMOVICH AJIUZULU

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here