Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI ATETA NA WAFANYAKAZI WA OFISI YA SEMA NA RAIS (SNR) IKULU ZANZIBAR

Written by mzalendoeditor

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimsikiliza Mratibu wa Kitengo cha Sema na Rais Mwinyi (SNR) Ikulu Nd,Haji Khamis Makame (kulia) wakati alipofika katika Ofisi ya kitengo kuzungumza na Wafanyakazi na kusikiliza taarifa mbali mbali na changamoto wanazokabiliana nazo wakiwa wanatimiza Mwaka Mmoja tokea kuanzisha kwa kitengo hicho.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akizungumza Wafanyakazi wa kitengo cha Sema na Rais Mwinyi (SNR) Ikulu wakati alipofika katika Ofisi ya kitengo kusikiliza taarifa mbali mbali na changamoto wanazokabiliana nazo  wakiwa wanatimiza Mwaka Mmoja tokea kuanzisha kwa kitengo hicho,(kulia) Mkuu wa Kitengo hicho Nd,Haji Khamis Makame.[Picha na Ikulu]

About the author

mzalendoeditor