Featured • Michezo PICHA:SIMBA WATUA KIBABE SAUZI KUIVAA ORLANDO PIRATES JUMAPILI 3 years agoby mzalendoeditor48 Views Written by mzalendoeditor WACHEZAJI wa Simba SC baada ya kuwasili Jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini leo kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, Orlando Pirates Jumapili. FacebookXGoogle+PinterestLinkedIn