Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

SUMA JKT YAMKABIDHI DC HANANG NYUMBA 73 ZA WAATHIRIKA WA MAFURIKO 

Written by mzalendo
Muonekano wa Mradi wa Nyumba  73 zilizojengwa SUMA JKT kwa ubora Mkubwa na muonekano mzuri  kwa ajili ya waathirika wa maafa ya maporomoko ya Tope zilizopo  Warret-Gidagamowd Wilaya ya Hanang Mkoani Manyara.
Na.Alex Sonna-HANANG,MANYARA
HALMASHAURI ya Wilaya ya Hanang Mkoani Manyara,imeipongeza Kampuni ya SUMA JKT kwa kukamilisha kwa wakati na katika ubora mkubwa ujenzi wa nyumba 73 kwa ajili wa waathirika wa mafuriko ya tope yalitokea Disemba mwaka jana.
Katika mafuriko hayo ambayo yalisababisha vifo vya baadhi ya watu na kuharibu miundombinu ya barabara na kuwacha  wakazi wengi wa eneo hilo bila makazi.
Mkuu wa Wilaya ya Hanang’ Mhe Almishi Issa Hazali ,alibainisha hayo  wakati akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya hafla fupi ya kukabidhiwa nyumba hizo 73 za waathirika wa mafuriko ya tope yaliyotea Disemba mwaka jana.
Alisema, wanaishuru SUMA JKT, kwa kufanikisha ujenzi wa nyumba hizo 73 kwa wakati na kwa ubora hali ambayo itakwenda kujibu changamoto ya baadhi ya wakazi wa eneo hilo kupata  makazi baada ya mafuriko hayo.
“Tunayofuraha kupokea nyumba hizi tunamshuru sana Rais Samia Suluhu Hassan, Disemba mwaka jana mafuriko ya tope yaliikumba wilaya yetu na hali ilikuwa mbaya sana miundombinu iliharibika, soko na makazi pia yalisombwa na mafuriko na kuacha baadhi ya watu bila makazi ya kuishi.
“Rais alifanya kazi nzuri kuhakikisha kuwa hali inarudi sawa na leo hii tumepokea nyumba 73 ambazo serikali ilitoa fedha kwa ajili ya kuwajengea waathirika na leo hii tunakabidhiwa tunawashuru sana SUMA JKT  kwa kufanikisha jambo hili kwa wakati na kwa ubora zaidi”alisema
Kwa upande wake Kamanda oparesheni Kanali Sadicky Mihayo, alisema ujenzi nyumba hizo 73 ni utekelezaji wa agizo la Rais Samia Suluhu Hassan na wakuu wake walioagiza SUMA JKT  kusimamia utekelezaji wa mradi huo.
“Nyumba hizi 73 ni kwa ajili ya watu walioathirika na mafuriko ya tope yaliyoikumba wilaya hii mwaka jana leo hii tumekabidhi nyumba hizi ambazo kila moja ina vyumba vitatu, sebure na nje lipo jiko na choo”alisema

Mkuu wa Wilaya ya Hanang’ Mhe Almishi Issa Hazali,akiwa na Kamanda oparesheni Kanali Sadicky Mihayo,wakikagua mradi wa nyumba 73 kwa ajili ya waathirika wa mafuriko ya tope yalitokea Disemba mwaka jana zilizojengwa na Kampuni ya SUMA JKT mara baada ya hafla fupi ya kukabidhiwa nyumba hizo 73 na SUMA JKT.

Mkuu wa Wilaya ya Hanang’ Mhe Almishi Issa Hazali,akiwa na Kamanda oparesheni Kanali Sadicky Mihayo,wakikagua mradi wa nyumba 73 kwa ajili ya waathirika wa mafuriko ya tope yalitokea Disemba mwaka jana zilizojengwa na Kampuni ya SUMA JKT mara baada ya hafla fupi ya kukabidhiwa nyumba hizo 73 na SUMA JKT.

Mkuu wa Wilaya ya Hanang’ Mhe Almishi Issa Hazali,akimpongeza Kamanda oparesheni Kanali Sadicky Mihayo,kwa usimamizi mzuri wa  mradi wa nyumba 73 kwa ajili ya waathirika wa mafuriko ya tope yalitokea Disemba mwaka jana zilizojengwa na Kampuni ya SUMA JKT mara baada ya hafla fupi ya kukabidhiwa nyumba hizo 73 na SUMA JKT.

Mkuu wa Wilaya ya Hanang’ Mhe Almishi Issa Hazali,akiwa na Kamanda Oparesheni Kanali Sadicky Mihayo,akionyesha muonekano wa Nyumba zinazojengwa kwa ajili ya waathirika wa maafa ya maporomoko ya Tope Warret-Gidagamowd Wilaya ya Hanang Mkoani Manyara.

Mkuu wa Wilaya ya Hanang’ Mhe Almishi Issa Hazali,akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhiwa Nyumba 73 kwa ajili ya waathirika wa mafuriko ya tope yalitokea Disemba mwaka jana zilizojengwa na Kampuni ya SUMA JKT  hafla fupi ya kukabidhiwa nyumba hizo ilifanyika katika kijiji cha Warret-Gidagamowd Wilaya ya Hanang Mkoani Manyara.

 Kamanda Oparesheni Kanali Sadicky Mihayo,akielezea jinsi walivyofanikisha ujenzi huo kwa muda mfupi nyumba 73  kwa ajili ya waathirika wa maafa ya maporomoko ya Tope zilizopo Warret-Gidagamowd Wilaya ya Hanang Mkoani Manyara.

Msaidizi wa Operesheni Kamanda Luteni Kanali Ashrafu Hassan,akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya Nyumba 73 kukabidhiwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Hanang Mkoani Manyara.

Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kampuni ya Ujenzi SUMAJKT Mhandisi Morgan Nyonyi,akielezea ubora na uimara wa Nyumba 73 zilizojengwa na SUMAJKT kwa ajili ya waathirika wa maafa ya maporomoko ya Tope zilizopo Warret-Gidagamowd Wilaya ya Hanang Mkoani Manyara.

Muonekano wa Mradi wa Nyumba  73 zilizojengwa SUMA JKT kwa ubora Mkubwa na muonekano mzuri  kwa ajili ya waathirika wa maafa ya maporomoko ya Tope zilizopo  Warret-Gidagamowd Wilaya ya Hanang Mkoani Manyara.

About the author

mzalendo