Featured Kitaifa

TANROADS YATUMIA MAONESHO YA NANENANE KUTOA ELIMU KWA WANANCHI

Written by mzalendo

 

Mhandisi wa Miradi kutoka Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Fulgence Lendo, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Agosti 5,2024 katika Banda la TANROADS lililopo katika maonesho ya Wakulima (Nanenane) yanayoendelea katika viwanja vya Nzunguni jijini Dodoma.

MTAALAM wa Malighafi na Majenzi Barabara kutoka Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS),Kitengo cha Utafiti na Maendeleo,Mhandisi Christina Luhwaga, akizungumza na waandishi wa habari  leo Agosti 5,2024 katika Banda la TANROADS lililopo katika maonesho ya Wakulima (Nanenane) yanayoendelea katika viwanja vya Nzunguni jijini Dodoma.

Fundi sanifu Mwandamizi wa TANROADS, Kitengo cha Utafiti na Maendeleo, Clement Ndagiwe akizungumza  katika Banda la TANROADS lililopo katika maonesho ya Wakulima (Nanenane) yanayoendelea katika viwanja vya Nzunguni jijini Dodoma.

About the author

mzalendo