Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AKIFUNGUA MAONESHO YA NANENANE DODOMA

Written by mzalendo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Agosti 01, 2024 anafungua maonesho ya Kimataifa ya Wakulima ya Nanenane ambayo kitaifa yanafanyika kwenye viwanja vya Nanenane Nzuguni Jijini Dodoma,

Kauli mbiu ya Maonesho hayo ni Chagua Viongozi Bora wa Serikali za Mitaa kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi.

About the author

mzalendo