Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA JUKWAA LA WAHARIRI TANZANIA UKUMBI WA SHEIKH IDRISA ABDULWAKIL KIKWAJUNI ZANZIBAR.

Written by mzalendoeditor
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja
Jijini Zanzibar leo 9-3-2022.(Picha na Ikulu)
MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) Bw. Deodatus Balile akizungumza kuhusiana na Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, wakati wa ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar, kabla ya kufunguliwa na mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Wadhamini wa Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF)  wakfuatilia hutuba ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk,.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)  akihutubia na kuufungua Mmkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar leo 9-3-2022.(Picha na Ikulu)
WAHARIRI wa Vyombo vya Habari na Wageni waalikwa wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar leo 9-3-2022.(Picha
na Ikulu

About the author

mzalendoeditor