Featured Michezo

KAIZER CHIEFS YAMTAKA MAYELE

Written by mzalendoeditor

Klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini wanataka kumfanya mshambuliaji wa klabu ya Yanga Fiston Mayele kama mbadala wa mshambuliaji wao Sebia Samir Nurković ambaye huenda akaondoka mwishoni mwa msimu huu.

Mayele amekuwa na kiwango bora sana ndani ya kikosi cha Yanga ambapo mpaka sasa amefunga jumla ya mabao 10 huku akiwa ametoa assit 3.

About the author

mzalendoeditor