Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betpark

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

SPIKA WA BUNGE LA WATOTO ATOA OMBI KWA WAZAZI/WALEZI

Written by Alex Sonna

Spika wa Bunge la Watoto wa mikoa ya Pwani na Dar es Salaam Isfahan Bungenyi akizungumza wakati wa ufunguzi wa Bunge la Watoto wa mikoa hiyo, lililofanyika mkoani Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis akizungumza wakati akifungua Bunge la watoto wa mikoa ya Dar es salaam na Pwani lililofanyika Jijini Dar es Salaam Juni 17, 2023, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amon Mpanju akieleza jambo wakati wa ufunguzi wa Bunge la Watoto wa mikoa ya Dar es salaam na Pwani, lililofanyika jijini Dar es salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika.

Kamishna wa Ustawi wa Jamii, Dkt. Nandera Mhando akieleza lengo la kuanzishwa kwa Bunge la watoto, wakati wa ufunguzi wa Bunge la watoto wa mikoa ya Dar es Salaam na Pwani lililofanyika jijini Dar es salaam.

Wabunge wa Bunge la Watoto wa mikoa ya Dar es salaam na Pwani wakifuatilia matukio mbalimbali wakati wa ufunguzi wa Bunge hilo, mkoani Dar es salaam.

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis katika picha ya pamoja na wabunge wa Bunge la watoto wa mikoa ya Dar es salaam na Pwani lililofanyika Jijini Dar es Salaam , ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Wizara hiyo Wakili Amon Mpanju, kulia ni Kamshna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Nandera Mhando.

Na WMJJWM, DAR ES SALAAM

Spika wa Bunge la watoto wa Mikoa ya Dar es salaam na Pwani Isfahan Fakhru Bugenyi amewasihi Wazazi, Walezi, Serikali na watendaji nchini kuwatengenezea Watoto majukwa yatakayowawezesha kushiriki kikamilifu katika masuala yanayowahusu.

Bugenyi ameyasema hayo wakati wa Bunge la watoto wa Mikoa hiyo Juni 17, 2023 Jijini Dar es salaam, ambalo limelenga kuwakutanisha wadau, viongozi wa Serikali na Wizara za kisekta zinazohusika na masuala mbalimbali ya Watoto Ili kujua mahitaji na changamoto zao

Spika Bugeny amesema majukwaa hayo ni muhimu kwani yataiwezesha Serikali, wadau wa watoto, wazazi, walezi na watendaji kuzingatia kundi hilo wanapopanga mipango Sera, Sheria na Miongozo mbalimbali itakayosadifu mahitaji halisi na vipaumbele vya Watoto.

“Lengo la Bunge hili ni kuwatengenezea Watoto Jukwaa la ushiriki wa Siku ya Mtoto wa Afrika kikamilifu na pia kupaza sauti zao juu ya masuala yanayowahusu Ili kukuza uelewa wao na Jamii kwa ujumla juu ya Haki za Mtoto, Vilevile Bunge la watoto linalenga kuwakutanisha viongozi wa Serikali, Wizara yenye dhamana na Watoto Ili wasikie mahitaji na changamoto za Watoto Ili wanapo panga mipango na sera, sheria na Miongozo mbalimbali iendane mahitaji halisi na vipaumbele vya Watoto”

Kwa upande wake Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ally Khamis ambaye ambaye ameshiriki ufunguzi wa Bunge hilo amemtaka Mkurugenzi wa Idara ya Watoto wa Wizara hiyo kushiirikiana na Ofisi ya Rais-TAMISEMI na Wizara ya elimu kuhakikisha kila shule inakuwa na Bunge la watoto.

“Tukiwa kwenye shule tunaweza kutafuta kila shule wagombea na kuweza kufanya Bunge la kitaifa na tukalifanya Bunge la Serikali ya watoto na Bunge ilo litawanufaifa watoto wenyewe kijitambua na kujieleza na kuibua changamoto za ukatili na kama kutakuwa na uelewa huu basi tutatokomeza ukatili” amesema Mwanaidi

Mhe Mwanaidi akatumia fursa hiyo kugusia juu ya suala la watoto na Sheria ya ndoa za utotoni.

“Serikali ya awamu ya sita inayo ongozwa na Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeanza kurekebisha vifungu vya sheria ya ndoa taratibu zinaendelea kufanyika kujua umri gani mtoto anatakiwa kuolewa na Umri gani mtoto atakiwi kuolewa” aliongeza Mhe. Mwanaidi.

Naye Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo Wakili Amoni Mpanju amewaasa watoto, kutumia fursa za kielimu wanazopewa kama silaha dhidi ya vitendo vya ukatili katika jamii zao Huku Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la LHRC Dkt. Anna Henga Akisema Bunge hili la watoto ni sehemu ya kupaza sauti zao na kujadili mambo yanayo wahusu watoto wenyewe.

About the author

Alex Sonna