Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betpark

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

HUDUMA ZA MSIMBOMILIA ZITAONGEZA THAMANI YA BIDHAA ZETU- WAZIRI GWAJIMA

Written by Alex Sonna

 

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima,akizungumza wakati wa  uzinduzi wa kitaifa wa maonesho ya wiki ya Msimbomilia kwenye viwanda  jijini Dar es Salaam.

Afisa Mtendaji Mkuu wa GS1 Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Majukwaa ya Uwezeseshaji Wanawake Kiuchumi, Fatma Kange,,akizungumza wakati wa  uzinduzi wa kitaifa wa maonesho ya wiki ya Msimbomilia kwenye viwanda  jijini Dar es Salaam.

Sehemu ya washiriki wakifatilia hotuba ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima (hayupo pichani)  wakati wa  uzinduzi wa kitaifa wa maonesho ya wiki ya Msimbomilia kwenye viwanda  jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima,akikagua bidhaa mbalimbali  wakati wa  uzinduzi wa kitaifa wa maonesho ya wiki ya Msimbomilia kwenye viwanda  jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya   uzinduzi wa kitaifa wa maonesho ya wiki ya Msimbomilia kwenye viwanda  jijini Dar es Salaam.

Na WMJJWM, Dar es Salaam

Serikali imesema itaendelea kushirikiana na taasisi inayosimamia utoaji wa huduma za Msimbomilia na Ufuatiliki GS1 Tanzania kuweka utaratibu wa kuchangia kuwawezesha wanawake wajasiriamali
ili kujikwamua kiuchumi kwa kuzipatia bidhaa wanazozalisha Barcodes.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa kitaifa wa maonesho ya wiki ya Msimbomilia kwenye viwanda  jijini Dar es Salaam.

Waziri Gwajima amesema kutokana na umuhimu wa msimbomilia ikiwemo kufanya bidhaa kutambulika kimataifa na kuingia kwenye maduka madogo na makubwa Serikali iliamua kusimamia na kushiriki katika mchakato wa kuanzishwa kwa taasisi itakayosimamia kisheria utoaji wa huduma za Msimbomilia na Ufuatiliki katika bidhaa zinazozalishwa nchini na nje ya nchi, kwani awali kulikuwa na changamoto ya bidhaa zinazozalishwa nchini kukosa utambuzi katika mifumo ya kimataifa ya Kidigitali.

“Nafurahi kusikia kuwa GS1 Tanzania imeanza kuchukua hatua za dhati za kuhakikisha kuwa bidhaa za Kitanzania pia zinaweza kuingia kwenye Maduka Makubwa ya Kisasa kwa
kuanzisha Programu ya Mafunzo katika Halmashauri zote Nchini kupitia OR-TAMISEMI kwa kushirikiana na taasisi nyingine za Serikali zenye majukumu yanayoendana na kuwajengea uwezo wajasiriamali kama vile TRA, TBS, TRDO, SIDO, TANTRADE na TCCIA ambazo zote zina majukumu ya kuhakikisha elimu ya viwango, utambuzi wa bidhaa na masoko kuwa zinawafikia wananchi wote kwa kuanzia ngazi ya Halmashauri”.

Dkt. Gwajima ameongeza kuwa, awali ukosefu wa huduma ya msimbomilia nchini ulifanya bidhaa kutotambulika katika mifumo ya kimataifa ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) wakati wa mauzo hivyo Serikali kukosa mapato kupitia ongezeko la thamani kwenye bidhaa zinazouzwa kwa njia ya reja reja.

Waziri Dkt. Gwajima amebainisha kwamba Tanzania ni kati ya nchi chache Afrika kupata leseni ya Shirika la GS1 Global lenye hati miliki ya huduma ya msimbomilia ambapo nchi nyingine ni Algeria, Misri, Ivory Coast, Kenya, Libya, Mauritius, Morocco, Nigeria, Senegal, Afrika Kusini hali inayochangia Tanzania kutoa huduma hiyo kwa nchi zinazoizunguka na kupanua wigo wa wateja.

Ametoa wito kwa Uongozi na Menejimenti ya GS1 Tanzania kuwa na mikakati ya kuzifikia nchi jirani kuhakikisha wanatumia Msimbomilia (Barcodes) za Tanzania ili kuongeza pato na kuitangaza nchi.

Kwa upande wake Afisa Mtendaji Mkuu wa GS1 Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Majukwaa ya Uwezeseshaji Wanawake Kiuchumi, Fatma Kange amebainisha changamoto ya wafanyabiashara wengi kukosa maeneo ya uzalishaji wa bidhaa zao na kuiomba Serikali kuona namna ya kuwapa maeneo.

“Wazalishaji wengi bado wanafanyia shughuli zao nyumbani, hivyo tunaomba tukipata eneo la ekari 10 tu popote hapa Dar es salaam”.

About the author

Alex Sonna