Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI DODOMA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsikiliza Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete, Bungeni jijini Dodoma

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Sumve,  Kasalali Mageni , Bungeni jijini Dodoma. 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Uratibu na Bunge, George Simbachawene akizungumza na Waziri wa Viwanda na Biashara Ashatu Kijaji , Bungeni jijini Dodoma. Februari 1 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor