Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AFANYA MABADILIKO NAFASI ZA UONGOZI SERIKALINI

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa Taarifa  ndogo ya mabadiliko ya nafasi za Uongozi katika Serikali ya Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania,  Ikulu  Jijini Dar es Salaam  leo Januari 3 , 2023.

About the author

mzalendoeditor